Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dkt. Juma Homera amesema wanaoandika No Reforms No Election wataumiza mikono yao kwa kuwa uchaguzi uko pale pale.
"No Reform No Election wala nini! Hiyo tunaishuhudia tu mitandaoni, wataendelea kuandia wataumiza mikono yao bure, sisi tunagonga Uchaguzi mwezi Oktoba tunasonga mbele na Rais wetu Dkt Samia Suluhu"