Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
na wale wanaandika kwenye karatasi ya kura ila mnapiga Bao la Mkono huwa wanaumiza makalio sio?Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dkt. Juma Homera amesema wanaoandika No Reforms No Election wataumiza mikono yao kwa kuwa uchaguzi uko pale pale.
"No Reform No Election wala nini! Hiyo tunaishuhudia tu mitandaoni, wataendelea kuandia wataumiza mikono yao bure, sisi tunagonga Uchaguzi mwezi Oktoba tunasonga mbele na Rais wetu Dkt Samia Suluhu"
Wateule wa Rais wote wanatakiwa kupigiwa kuraHawa wakuu wa mikoa,wilaya ,wakurugenzi wanapaswa wapigiwe kura ,zisiwe nafasi za kuzawadiana tu ,, wakipigiwa kura tutapunguza wapumbavu serekalini.
Katika watu wa kushughulikia kwa njia za jadi, haramu na hata halali ni huyu dogo HOMERA. Huyu ndiye kauwa watoto wa Mbeya. Roho yake haitakaa ipate amani maisha yake yote yaliyobaki duniani.Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dkt. Juma Homera amesema wanaoandika No Reforms No Election wataumiza mikono yao kwa kuwa uchaguzi uko pale pale.
"No Reform No Election wala nini! Hiyo tunaishuhudia tu mitandaoni, wataendelea kuandia wataumiza mikono yao bure, sisi tunagonga Uchaguzi mwezi Oktoba tunasonga mbele na Rais wetu Dkt Samia Suluhu"
INASEMEKANA AMEMUUA MDUDE, HII DHAMBI SIJUI TAITUBU WAPI, HATA WATOTO WAKE WATALIPIZWA KISASIMkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dkt. Juma Homera amesema wanaoandika No Reforms No Election wataumiza mikono yao kwa kuwa uchaguzi uko pale pale.
"No Reform No Election wala nini! Hiyo tunaishuhudia tu mitandaoni, wataendelea kuandia wataumiza mikono yao bure, sisi tunagonga Uchaguzi mwezi Oktoba tunasonga mbele na Rais wetu Dkt Samia Suluhu"
Atupe Mdude wetu. Kama alimuuwa damu yake imlaani kuanzia kizazi chake mpaka kiishe chote.Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dkt. Juma Homera amesema wanaoandika No Reforms No Election wataumiza mikono yao kwa kuwa uchaguzi uko pale pale.
"No Reform No Election wala nini! Hiyo tunaishuhudia tu mitandaoni, wataendelea kuandia wataumiza mikono yao bure, sisi tunagonga Uchaguzi mwezi Oktoba tunasonga mbele na Rais wetu Dkt Samia Suluhu"