Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaelewa nini?Mambo mengine bwana mtu kama anakimbizwa huku ana ambiwa aongeee ,.
Hii ndio akili ya mtanzania. Umeshindwa hata kuchekecha ubongo na kujiuliza "why this time imekua too much!" Kila bada ya nyumba tatu utasikia msiba, kila ukingia JF tanzia hazishi!Kipi Cha ajabu? Watu aanakufa daily
Narudia, kipi Cha ajabu hapo? Kufa? Timing? Maiti?mochwari? Kilimanjaro?Hii ndio akili ya mtanzania. Umeshindwa hata kuchekecha ubongo na kujiuliza "why this time imekua too much!" Kila bada ya nyumba tatu utasikia msiba, kila ukingia JF tanzia hazishi! Jambo ambalo hawali halikua kwa idada hii. Hatukatai watu wanadondoka kwa magonjwa mengi tu, chakujiuliza inamaa safari hayo magonjwa ndio yamechachamaa zaidi!?
ngoja nikupe unachostahili! Upo sawa mkuu wala ujakosea🚶♂️Narudia, kipi Cha ajabu hapo? Kufa? Timing? Maiti?mochwari? Kilimanjaro?
Nashauri sasa ni wakati mwafaka waenza HOFU wavalishwe PPE & barakao za chuma kinywani na ndimini mwao