johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ushauri mzuri!TRA endeleeni na kazi, msikatishwe tamaa.
Kilimanjaro kuna mipaka na nchi jirani na panya road chungu mbovu.
Magendo ni mengi kuanzia nyuzi za nguo, simu, sabuni , sukari, mafuta kula, taa etc.
Bila TRA imara tutasomeshwa namba, wafanyabiashara kilimanjaro baadhi ni wakwepakodi wakubwa, TRA uchumi wetu unawategemea msitetereke.
Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
Awe makini maana mi ccm itaendelea kumchongelezea na mwisho wa siku mwenye mamlaka atamtumbua kwa sababu tu ya kupenda kwake haki na pia kusimamia ukweli.Mama Anna Mghwira anastahili Pongezi wenzake wengi wanaogopa
Anasemewa sana kwa Mkuu ili apigwe chiniMama Anna Mghwira anastahili Pongezi wenzake wengi wanaogopa
Yule ni kiongozi namkubali Sana yule mamaMama Anna Mghwira anastahili Pongezi wenzake wengi wanaogopa
Haa haa tatizo mkuu wa nchi amepanic reli bado haijasha , stigla, bado watumishi wanamdai mishahara.yeye huwa anawajali zaidi wamachinga Kule yule anayelipa kodi ya 3m kwa mwakaNachoshangaa kila mtu anawapigia kelele TRA lakini hawaachi, kuanzia bosi mwenyewe, mawaziri wake, wabunge, mpaka sasa mkuu wa mkoa, lakini bado TRA hawana habari wanadunda zao tu..
Naamini inawezekana haya matamko ya kuwaonya TRA huwa ya kisiasa tu, wakienda kona wanaambiwa kazeni hapo hapo.
Hahahaaaa......!Nachoshangaa kila mtu anawapigia kelele TRA lakini hawaachi, kuanzia bosi mwenyewe, mawaziri wake, wabunge, mpaka sasa mkuu wa mkoa, lakini bado TRA hawana habari wanadunda zao tu..
Naamini inawezekana haya matamko ya kuwaonya TRA huwa ya kisiasa tu, wakienda kona wanaambiwa kazeni hapo hapo.