RC Mhita: Shinyanga imezalisha Tani 43 za madini safi

Mwanahabari Huria

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2025
Posts
406
Reaction score
308
1754218628709.png

Mafanikio katika sekta ya madini ni pamoja na kuongezeka kwa uzalishaji wa madini kutoka tani 7.9 mwaka 2020 hadi tani 42.5 mwaka 2025, hivyo jumla ya madini yaliyopatikana ni tani 50.4; kuongezeka kwa fedha za kigeni kutoka Dola za Marekani milioni 44.33 mwaka 2020 hadi milioni 191.15 mwaka 2025; mapato ya Halmashauri kutoka Shilingi milioni 745.4 mwaka 2020 hadi Shilingi 3,334,265,389.56 mwaka 2025; vituo vya ununuzi wa madini kutoka 6 mwaka 2020 hadi 12 mwaka 2025; utoaji wa leseni kwa wachimbaji wadogo kutoka 332 mwaka 2020 hadi 1,766 mwaka 2025; makusanyo ya maduhuli kutoka Shilingi bilioni 103.4 mwaka 2020/21 hadi Shilingi bilioni 607.04 mwaka 2024/25; na kuanzishwa kwa masoko ya madini katika Wilaya za Kahama na Shinyanga,Shinyanga yazalisha Tani 43 za dhahabu na dola milioni 191.2.
 
maajabu haya
 
View attachment 3429484

tanzania ni njema sana
 
Mbona umasikini wa shinyanga ndio umekisiri Sana
 
Hongera sana Tanzania yangu
 
Hongera sana Wanashinyanga
 
kazi nzuri sana hii ya Serikali ya awamu ya sita.
 
shinyanga mnastahili pongezi sana
 
nafasi za kuchimba zipo?
 
Back
Top Bottom