RC Mstaafu Chalamila atikisa Kanisa, aimba kwaya utadhani ndege mnana

Jana niliandika sehemu maneno yafuatayo:

Sifa za watanzania ni unafiki, roho mbaya, wizi, upigaji, kutokuwajibika, wabinafsi.. etc, huku wakijifanya wanampenda sana Mungu. Sasa jiulize kati ya hizo sifa hapo juu kuna yoyote inaendana na Mungu? (Kumpenda Mungu bila kumtii ni kuthibiti mioyoni mwetu upenzi wetu kwa shetani badala ya huyo Mungu "tunayempenda").
Angalia miradi ya maendeleo, ni upigaji kila kona, hawa ndio Watanzania.
Haijalishi wametokea chama gani tabia zao ni hizihizi, Upigaji.
Ila "wanampenda" sana Mungu

Mwisho wa kujinukuu..
 
Chalamila anaishi maisha simple sana nje ya U RC. Yaani hana stress full kujichanganya. Utamkuta kwenye hardware yake pale kitwiru story kwa sana na washkaji, mara ashike toroli asogeze mizigo, anapiga kande na washkaji kwa mama ntilie, anaingia zake shamba na landcruiser yake shangwe na wafanyakazi wake kama vile hajawahi kua RC
 
Stress compansation mechanisms. Roho inamsuta sana.

Sugu anamchora tu anasema hihiiii....bhagosha
 
Anayajua maisha sema aliponzwa na form ya U praise team ya kumsifia mtukufu kijinga jinga
 
Ha haaaaa daaah....!! Ukipata cheo unavimba , ukikosa unakimbilia Kwa jehova , Mwenyezi Mungu ni kimbilio la wanyonge na loosers
🤣🤣🤣hapo kwenye loosers.

Bashte group
 
Maisha ni amani ya moyo na raha nafsini. Kama Chalamila anavipata hivi vitu basi yeye ni tajiri kuliko Bakhresa.
 
Chalamila yuko OG sana upepo wa chuki za kimagufuli za wana mtandao Chadema mazwazwa na Light brain za awamu hii zilimfurusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…