RC Mstaafu Chalamila atikisa Kanisa, aimba kwaya utadhani ndege mnana

RC Mstaafu Chalamila atikisa Kanisa, aimba kwaya utadhani ndege mnana

Kule kwenye u-RC alipoteza muda, angewahi huku sasa hivi angekua na himaya kama Mwamposa na Gwajima.
sijawahi mkubali huyu jamaa kisiasa lakini hii kazi ya uimbaji alianza tangu zamani ana nyimbo kama÷
I mufindi yetu akimaanisha mufindi yetu
I mibiki jetu na malungulu getu akihamasisha wazee wa mufindi wauze miti tu wasiuze ardhi kwa sababu wazee wao wangeuza wao hivi sasa wasingekuta kitu
Pia anayo nyimbo inahamasisha watu wasinywe pombe tangu asubuh kwan hushawishika ktk ngono zembe ikizingatiwa mufindi ndio kitovu cha maambukizi ya HIV iringa
alimtaja kijana fulani kuwa mwanuke ili gimilo kijana uyo badala ya kukatila i senya i rande setu huyu kijana lwetuke ng'imbile
Kwenye mziki wa kihehe yupo tangu muda mrefu sana
 
Jikabizishe kwanza kwa MUNGU ndipo baadae utoe sadaka,usali na uimbe kwa sauti kwani kutofanya hivyo sawa na kutanguliza mkokoteni na punda akafuata nyuma
 
Akikumbuka na Cheo alichokuwa nacho..machozi lazima yamtoke...na kunena kwa lugha juu
 
Huyu si ndio alikuwa anahamasisha uasherati au mwingine
 
Ha haaaaa daaah! Ukipata cheo unavimba, ukikosa unakimbilia Kwa jehova, Mwenyezi Mungu ni kimbilio la wanyonge na loosers
Duh

Mungu ni kimbilio la wote wenye mwili, wanyonge, losers na matajiri pia, sema matajiri huwa wanajiona hawamwitaji Mungu na ndipo huwabana mahala.
 
Kwa namna alivyoimba kwa hisia kali na uwezo mkubwa wadau wamshauri aingie Studio .

Nilichogundua ni kwamba sometimes uongozi unaminya vipaji .

View attachment 2127046

Mambo yao yakienda alijojo huwa wanakimbilia madhabahuni!!! Wanafiki wakubwa hawa; huyu si ndio yule alikuwa anashabikia ufuska majukwaani? Chawa mkubwa wa Jiwe ashindwe!
 
Back
Top Bottom