RC Mtaka awataka Wakuu wa Wilaya kuifuatilia Mikutano ya CHADEMA na kuzifanyia kazi hoja zao kama zina mashiko!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mkuu wa mkoa wa Njombe Mh. Anthony Mtaka amewataka Wakuu wa Wilaya kuifuatilia Mikutano ya vyama vya Upinzani na kusikiliza wanachoongea.

Zile hoja za msingi zichukueni mkazifanyie Kazi msiwachukie, amesisitiza Mtaka.

Source: Jambo TV Njombe
 
Sabaya amebambikiwa kesi tu na aliyepanga kumuuwa akachiwa huru licha ya kwamba mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu!.

Sabaya kwa mujibu wa mahakama yuko huru ila bado yuko gerezani kwa maelekezo ya viongozi wa serikali.

Rais Samia ukitaka kutenda haki tenda jumla jumla siyo nusunusu kwa Mbowe tu.

Siku akiingia rais mwingine Sabaya ataachiwa huru na atateuliwa nafasi ya uongozi mbele ya macho yako kwa sababu hana kosa lolote ila wauza madawa ya kulevya kwa kushirikiana na Dpp Kweka wamemtengenzea zengwe la kumkomoa.
 
Mkuu wa mkoa wa Njombe Mh. Anthony Mtaka amewataka Wakuu wa Wilaya kuifuatilia Mikutano ya vyama vya Upinzani na kusikiliza wanachoongea.

Zile hoja za msingi zichukueni mkazifanyie Kazi msiwachukie, amesisitiza Mtaka.

Source: Jambo TV Njombe
Tumpe muda
 
Sabaya ni jambazi kama majambazi wengine, ni vyema naye amfuate yule mwendazake alihemtuma uharamia huo.
 
Mkuu wa mkoa wa Njombe Mh. Anthony Mtaka amewataka Wakuu wa Wilaya kuifuatilia Mikutano ya vyama vya Upinzani na kusikiliza wanachoongea.

Zile hoja za msingi zichukueni mkazifanyie Kazi msiwachukie, amesisitiza Mtaka.

Source: Jambo TV Njombe
waanze na hili la mifumuko ya bei hasa kwenye vyakula - unga, mchele, maharage kama wataweza.
 
Back
Top Bottom