Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Ni kauli ya kawaida kabisa kwenye mazingira ya democrasia na uhuru na haki ya mikutano ya hadhara, watch dogs, checks and balances, Utawala Bora ndio nchi inaenda vizuri.Mkuu wa mkoa wa Njombe Mh. Anthony Mtaka amewataka Wakuu wa Wilaya kuifuatilia Mikutano ya vyama vya Upinzani na kusikiliza wanachoongea.
Zile hoja za msingi zichukueni mkazifanyie Kazi msiwachukie, amesisitiza Mtaka.
Source: Jambo TV Njombe