RC Mtaka awataka Wakuu wa Wilaya kuifuatilia Mikutano ya CHADEMA na kuzifanyia kazi hoja zao kama zina mashiko!

Mkuu wa mkoa wa Njombe Mh. Anthony Mtaka amewataka Wakuu wa Wilaya kuifuatilia Mikutano ya vyama vya Upinzani na kusikiliza wanachoongea.

Zile hoja za msingi zichukueni mkazifanyie Kazi msiwachukie, amesisitiza Mtaka.

Source: Jambo TV Njombe
Ni kauli ya kawaida kabisa kwenye mazingira ya democrasia na uhuru na haki ya mikutano ya hadhara, watch dogs, checks and balances, Utawala Bora ndio nchi inaenda vizuri.
 
RC Mtaka anajua siasa, ni moja kati ya vijana Bora kuwahi kutokea katika siasa Safi ndani ya chama cha mapinduzi.
 
Mkuu wa mkoa wa Njombe Mh. Anthony Mtaka amewataka Wakuu wa Wilaya kuifuatilia Mikutano ya vyama vya Upinzani na kusikiliza wanachoongea.

Zile hoja za msingi zichukueni mkazifanyie Kazi msiwachukie, amesisitiza Mtaka.

Source: Jambo TV Njombe
salamu zimfikie jiwe heti siwezi kufanya kazi nawanao nipinga
 
Back
Top Bottom