johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
🤣👍Zile hoja za msingi zichukueni mkazifanyie Kazi msiwachukie, amesisitiza Mtaka
Kwanini mkuuHuyu watamuondoa soon
Ukitaka kuwa a jack of all trades hautafika mbali, ni vyema kusikiliza na wengine.Kwahiyo ccm imeshindwa kuendesha nchi wasubiri hoja za wanachadema.
Magu aliyekua anachukia wapinzani waziwazi hakumuondoa, unadhani mama hata anaweza akawaza kumuondoa?Huyu watamuondoa soon
Iwapo anamaanisha kutoka moyoni basi ni miongoni mwa wachache zaidi, wazalendo wakweli ,wakweli na wenye nia njema na taifa letu waliosalia chamani kwake,🤔Huyu watamuondoa soon
AmeshamwanzishiaSabaya alikua mumeo nn maana naona nyuzi ya pili hii unamzungumzia huyo jambazi kama unampenda sana mwanzishie nyuzi yake
Wewe Bavicha uko vizuri. Chadema haiwezi kuendesha Serikali.Naamini 2025 Chadema wakiweka watu wazuri Ubunge zaidi ya 70
Watamiliki Halmashauri zaidi ya 6
Tumpe mudaMkuu wa mkoa wa Njombe Mh. Anthony Mtaka amewataka Wakuu wa Wilaya kuifuatilia Mikutano ya vyama vya Upinzani na kusikiliza wanachoongea.
Zile hoja za msingi zichukueni mkazifanyie Kazi msiwachukie, amesisitiza Mtaka.
Source: Jambo TV Njombe
waanze na hili la mifumuko ya bei hasa kwenye vyakula - unga, mchele, maharage kama wataweza.Mkuu wa mkoa wa Njombe Mh. Anthony Mtaka amewataka Wakuu wa Wilaya kuifuatilia Mikutano ya vyama vya Upinzani na kusikiliza wanachoongea.
Zile hoja za msingi zichukueni mkazifanyie Kazi msiwachukie, amesisitiza Mtaka.
Source: Jambo TV Njombe
Sana. Enzi za shetani tungesikia kauli ngumu na za kuudhi toka kwa RC dhidi ya chademaNchi inaenda pazuri