RC Mtaka: Njombe mfanyabiashara ana mauzo ya 500ml kwa mwezi lakini anapanda daladala

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,686
Reaction score
46,842
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amesema ni muhimu Wafanyabiashara kuwa na maisha yanayoendana na kipatao chao .

Mtaka amesema hayo leo Julai 13, 2026 wakati akizungumza na Wakulima wa Parachichi watakaoenda nchini India kujifunza Soko la Parachichi India ambapo amesema wapo Wafanyabiashara wanaingiza pesa lakini maisha yao hayaendani na kipato.

Ameongeza kuwa ni sahihi Mfanyabiashara kubana matumizi lakini yapo mambo ya muhimu lazima fedha hizo zitumike.
 
Hela za watu wengi wa Njombe ni za kichawi na zina masharti magumu sana. Ukikosea kidogo tu, unaiaga dunia
 
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amesema ni muhimu Wafanyabiashara kuwa na maisha yanayoendana na kipatao chao .

Mtaka amesema hayo leo Julai 13, 2026 wakati akizungumza na Wakulima wa Parachichi watakaoenda nchini India kujifunza Soko la Parachichi India ambapo amesema wapo Wafanyabiashara wanaingiza pesa lakini maisha yao hayaendani na kipato.

Ameongeza kuwa ni sahihi Mfanyabiashara kubana matumizi lakini yapo mambo ya muhimu lazima fedha hizo zitumike.
Ndagu at work.
 
Njombe mtu anaweza akawa na 1B na akawa anaishi kama masikini. Nyumba ya kawaida tu, watoto wanasoma Kayumba
 
Back
Top Bottom