Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Njombe hakuna foleniJamaa nae kaamua kuwa motivational speaker
Watu wana himizwa kutumia usafiri wa umma ili kupunguza foleni na uchafuzi wa hali ya hewa
Hapa anaongea na matajiri sio na maskini.Huyu nae anaongea sana .Yeye yupo namba ngapi kwenye listi ya matajiri wa Dunia tumuone? Linaongea mpaka imekuwa kero .
Hela za watu wengi wa Njombe ni za kichawi na zina masharti magumu sana. Ukikosea kidogo tu, unaiaga duniaMkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amesema ni muhimu Wafanyabiashara kuwa na maisha yanayoendana na kipatao chao .
Mtaka amesema hayo leo Julai 13, 2026 wakati akizungumza na Wakulima wa Parachichi watakaoenda nchini India kujifunza Soko la Parachichi India ambapo amesema wapo Wafanyabiashara wanaingiza pesa lakini maisha yao hayaendani na kipato.
Ameongeza kuwa ni sahihi Mfanyabiashara kubana matumizi lakini yapo mambo ya muhimu lazima fedha hizo zitumike.
Ndagu at work.Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amesema ni muhimu Wafanyabiashara kuwa na maisha yanayoendana na kipatao chao .
Mtaka amesema hayo leo Julai 13, 2026 wakati akizungumza na Wakulima wa Parachichi watakaoenda nchini India kujifunza Soko la Parachichi India ambapo amesema wapo Wafanyabiashara wanaingiza pesa lakini maisha yao hayaendani na kipato.
Ameongeza kuwa ni sahihi Mfanyabiashara kubana matumizi lakini yapo mambo ya muhimu lazima fedha hizo zitumike.
Kwanini mkuu unamaanisha siri ya utajiri ni ubahili?Matajiri wa Njombe nawaheshimu sana...
Izo Mambo zipo kila sehemu ila kwa ishu ya parachichi za kisasa ni kweli Kuna utajiri.Hela za watu wengi wa Njombe ni za kichawi na zina masharti magumu sana. Ukikosea kidogo tu, unaiaga dunia