DogoWaNjombe JF-Expert Member Joined Feb 7, 2022 Posts 3,284 Reaction score 7,708 Feb 23, 2026 #1 Your browser is not able to display this video. Mkuu wa Mkoa Njombe, Anthony Mtaka kwa kushirikiana na Katibu Tawala Mkoa (RAS) Njombe ameeleza walivyoanzisha utaratibu wa kuwapa chai Watumishi kupitia fedha ambayo ingetakiwa kutumika na Mkuu wa Mkoa. Ameeleza hayo Februari 20, 2026.
Your browser is not able to display this video. Mkuu wa Mkoa Njombe, Anthony Mtaka kwa kushirikiana na Katibu Tawala Mkoa (RAS) Njombe ameeleza walivyoanzisha utaratibu wa kuwapa chai Watumishi kupitia fedha ambayo ingetakiwa kutumika na Mkuu wa Mkoa. Ameeleza hayo Februari 20, 2026.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Feb 23, 2026 #2 Kipaumbele cha rc wa mchongo🤔