RC Mtanda: Serikali hatuwezi kuchukua kispika cha Ahmed Ally cha kuuzia kunguni kutoa taarifa, tunafanya kazi kama Ally Kamwe

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Mtanda awataka vijana wasikae vijiweni washiriki kwenye makongamano kusikiliza fursa mbalimbali,

Mtanda ameoa wito huo kwenye Konga la wazi la Fursa za kiuchumi kuhusu mgao wa 30% za Rais Samia kupitia NeST.

Hivi huyu Mtanda ana ugomvi gani usioisha na vijana wa Mangungu! Eti kispika cha kuuzia kunguni, au sumu ya kuulia kunguni! 😀
 
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Mtanda awataka vijana wasikae vijiweni washiriki kwenye makongamano kusikiliza fursa mbalimbali,

Mtanda ameoa wito huo kwenye Konga la wazi la Fursa za kiuchumi kuhusu mgao wa 30% za Rais Samia kupitia NeST.

View attachment 3286793
Huyu ni Yanga mwenzangu ila ni kubwa Jinga sana. Huwa anaongea pumba mpaka sisi wenyewe tunashangaa. Ila ndo mkuu wa mkoa. 🤣
 
Asingegonganisha nyaya kama hivyo taarifa isingeenda mbali anajua kabisa vijana wa Sasa asubuhi hadi jioni ni Simba na Yanga
 
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Mtanda awataka vijana wasikae vijiweni washiriki kwenye makongamano kusikiliza fursa mbalimbali,

Mtanda ameoa wito huo kwenye Konga la wazi la Fursa za kiuchumi kuhusu mgao wa 30% za Rais Samia kupitia NeST.

View attachment 3286793
Sio ajabu maana huko wenye akili ni wawili tu.
Hata uwe na PhD, ili mradi we yanga ujue akili kwishaa!
 
Ngoja Kampeni ya NO REFORMS NO ELECTION iingie kanda ya Ziwa ndicho kinachosubiriwa kwa hamu na Wananchi.
 
Mkichwa kama uvungu wa meli, kiongozi gani amelewa madaraka anaongea anachotaka na akijua kabisa hakuna wa kumgusa , ukiangalia kwa jicho pana kama Nchi tumepoteza ,tunapoteza na tutapoteza
 
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Mtanda awataka vijana wasikae vijiweni washiriki kwenye makongamano kusikiliza fursa mbalimbali,

Mtanda ameoa wito huo kwenye Konga la wazi la Fursa za kiuchumi kuhusu mgao wa 30% za Rais Samia kupitia NeST.

View attachment 3286793
Tumbo linavyozid kuwa kubwa, ubongo inazid kuwa mdogo, the same apply to makalio
 
Back
Top Bottom