RC Mtwara: Kuanzia Jumatatu mtu yoyote anakwenda ofisi ya Mkuu wa Mkoa ni lazima avae barakoa ( mask )

RC Mtwara: Kuanzia Jumatatu mtu yoyote anakwenda ofisi ya Mkuu wa Mkoa ni lazima avae barakoa ( mask )

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mkuu wa mkoa wa Mtwara amesema kuanzia jumatatu mwananchi yoyote atakayefika ofisi ya mkuu wa mkoa ( mkoani) ni lazima avae barakoa vinginevyo atazuiliwa getini.

Mkuu wa mkoa amechukua hatua hiyo kama jitihada zake za kuzuia maambukizi ya Covid 19.

Chanzo: ITV habari!
 
Wataalamu walijitokeza kuzuia wananchi kuvaa barakoa,tena tukaambiwa ukivaa kama huumwi,inaweza kuwa mbaya zaidi.
Na tuliambiwa wasemaji wa corona ni waziri wa afya,waziri mkuu au rais mwenyewe.
Sasa huyu amekasimiwa madaraka na nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom