Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Wanakera.ungetulia ukaandika kinachoeleweka
vinginevyo huna tofauti na hao wanasiasa au RC wanaolipua ujenzi wa hizo nyumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu hajui hata anachoongea na madhara yake.RC, ameingilia "anga" zako, anakukosesha "ugali"
hahahahahahaha
Tatizo siyo hilo mkuu.kwa iyo wakijenga kwa 80m izo ishirini itabidi wazipige.
Watakwambia Wanadhibiti Upigaji,Tatizo siyo hilo mkuu.
Tatizo ni kujiuliza ni vigezo gani huyu RC katumia kupunguza gharama.
Mi mwenyewe nashangaa.Tatizo siyo hilo mkuu.
Tatizo ni kujiuliza ni vigezo gani huyu RC katumia kupunguza gharama.
Hii dharau dharau kwa utaalam wa ujenzi watu mradi ni kiongozi, basi yeye anajua kila kitu, itatu cost tu muda si mrefu.Mi mwenyewe nashangaa.
Yani wanaiga kila kitu, JPM alivyoaanza na ziara za kustukiza, wote wakaanza kustukiza.
Alivyobebelea uchafu, kila mtu nae akaiga.
Anavyokemea gharama kubwa, nao wanatamka kiwango chochote.
Huyo mama kala maharage ya wapi?View attachment 1301004
Sasa hivi wanasiasa wanashindana kujenga nyumba za umma kwa hela kiduchu ili kumridhisha aliyewateua.
Tena wanafanya hivyo mbele ya kamera ili waonekane kama huyu RC.
Tunaomba wakitoa maagizo ya kupunguza gharama za ujenzi, waweke maagizo hayo kwa maandishi yenye sahihi ili kuonyesha uwajibikaji wao pindipo jengo litakapo anguka kwa kukosa viwango.
Watu wanajidai kujua fani hii ya ujenzi, twaomba vile vile wasiishie kutoa maagizo-waweke sahihi ya hizo variations in cost.
Jengo la umma litakapo anguka na kuua muwajibikaji(RC) naye achukuliwe hatua.
Kwa hiyo ulitaka wajenge temporary office kwa milion 100 ndio uridhike.
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1301004
Sasa hivi wanasiasa wanashindana kujenga nyumba za umma kwa hela kiduchu ili kumridhisha aliyewateua.
Tena wanafanya hivyo mbele ya kamera ili waonekane kama huyu RC.
Tunaomba wakitoa maagizo ya kupunguza gharama za ujenzi, waweke maagizo hayo kwa maandishi yenye sahihi ili kuonyesha uwajibikaji wao pindipo jengo litakapo anguka kwa kukosa viwango.
Watu wanajidai kujua fani hii ya ujenzi, twaomba vile vile wasiishie kutoa maagizo-waweke sahihi ya hizo variations in cost.
Jengo la umma litakapo anguka na kuua muwajibikaji(RC) naye achukuliwe hatua.
Ni kawaida yenu uvccm kutokuelewa mambo yanayoikosoa serikali/viongozi wenuungetulia ukaandika kinachoeleweka
vinginevyo huna tofauti na hao wanasiasa au RC wanaolipua ujenzi wa hizo nyumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni uongo uliokithiri kufikiri kila tenda ina 10%, watanzania tujikite na ukweli kuwa ujenzi si lelemama.The best way, ni mhandisi wa eneo na mradi husika kumwachia yeye mwenyewe RC huyo asimamie hiyo project kwa vigezo vyake....
Maana yake Mhandisi aachie ngazi kuepuka maafa ya hicho anachoamini na kusimamia....
Kwa sababu hivi utawezaje kushusha gharama ya ujenzi wa jengo/majengo lenye structure inayogharimu Tshs. 300M hadi 100M bila kubadili hiyo structure yet kusiwe na madhara?
Nionavyo mimi, viongozi wetu hawa wanajaribu kwa hisia tu na kwa kila njia kuzuia wasimamizi wa miradi hii kupata 10% yao jambo ambalo ni gumu sana kwa sababu hata use me miradi ugharimu 10M, bado wanaosimamia watachukua tu cha kwao...!!
This is too bad. Tunaingiza siasa hata kwenye mambo ya kisayansi na kitaalamu....
Ni kawaida yenu uvccm kutokuelewa mambo yanayoikosoa serikali/viongozi wenu