Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda alipokuwa anaongelea maandalizi ya Pamba Jiji kuelekea mechi ya kuikabili Simba SC, kesho Novemba 22, akiwahakikishia wasikilizaji kuwa katika game hiyo ushindi ni lazima wa Klabu hiyo ya Rock City, katika Uwanja wa Ccm Kirumba.
Amesema hayo akiwa Kwimba kwenye shughuli za Kiserikali mbele ya viongozi mbalimbali wa Wilaya hiyo.
"Pamba jiji kesho kutwa (Ijumaa) tunajua tunacheza na Simba, matarajio yetu ni kuwafunga Simba, Sasa wengine hawaamini ila mimi nawaambia kwa Uwezo wa Mwenyezi Mungu Simba inaenda kufungwa na Pamba, lakini kama hawaamini waende wakaangalie namna ambavyo Yanga alifungwa na Tabora..." (Yanga Oyee!)
Anazungumzia pamba jiji halafu anasema Yanga Oyee. Sasa watu wamuelewe vipi kama sio kajionesha kuwa ni shabiki wa Yanga anayetamani Simba ifungwe na Pamba.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda alipokuwa anaongelea maandalizi ya Pamba Jiji kuelekea mechi ya kuikabili Simba SC, kesho Novemba 22, akiwahakikishia wasikilizaji kuwa katika game hiyo ushindi ni lazima wa Klabu hiyo ya Rock City, katika Uwanja wa Ccm Kirumba.
Amesema hayo akiwa Kwimba kwenye shughuli za Kiserikali mbele ya viongozi mbalimbali wa Wilaya hiyo.
"Pamba jiji kesho kutwa (Ijumaa) tunajua tunacheza na Simba, matarajio yetu ni kuwafunga Simba, Sasa wengine hawaamini ila mimi nawaambia kwa Uwezo wa Mwenyezi Mungu Simba inaenda kufungwa na Pamba, lakini kama hawaamini waende wakaangalie namna ambavyo Yanga alifungwa na Tabora..." (Yanga Oyee!) View attachment 3158258