RC Mwanza tafadhali Corona haipo Rock city, halafu soko la Dampo Haipo chukua hatua kupitia mamlaka ulizo nazo

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Habari ya asubuhi wadau?

Ninaomba nitoe rai kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kutokana na hali halisi niliyoiona tangu nimeingia mkoa wa Mwanza wiki iliyopita.

Kwanza kuna mikusanyiko mingi sana kwenye baa Mwanza Mjini kuanzia saa moja jioni na kuendelea.

Pili kuna wafanyabishara wengi na wananchi wengi hawajachukua hatua yoyote mfano leo nmetembelea maeneo ya Dampo na kwenye masoko mengine yani watu wako bize na biashara hakuna hatua yoyote ya kujinga na maambukizi iliyochukuliwa.

Hakuna ndoo za maji za kuosha mikono kwa wajasiriamali.

Wafanya biashara zaidi ya 150 hakuna aliyevaa barakoa hata mmoja na akipita aliyevaa barakoa anazomewa au kuonekana ni mgonjwa tayari.

Pongezi ni kuwa ni Rock City Mall tu ndio huruhusiwi kuingia na kutoka pasipo kuvaa barakoa.

Cha ajabu na cha kushangaza ambacho kimenisukuma nije na bandiko pale mlangoni kuna vijana wanauza barakoa shilingi 1000 ama huna basi wanakukodisha kwa shilingi 500 unavaa uningia ukitoka unawarudishia wanakodisha wengine na wateja wao wakubwa ni bodaboda ambao wanatozwa 200 tu.

Wito wana habari nchini msisubiri majibu ya wamekufa wangapi wamepona wangapi ingieni mtaani mwelezee umma wa watanzania kinachotakiwa kufanyika.

Nipo Mwanza kwa sasa ntasema kweli daima kuwalinda wananchi wenzangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali kuna haja ya kufanya kazi na kada nyingine mfano NGOs, CBOs ili kutoa elimu pana zaidi. Video kama ya yule mgonjwa "fake" wa CORONA ikitumika inaweza kuwajengea watu uelewa hivyo kupunguza maambukizi.
 
Mimi ni mzawa Mwanza hakika kwa ubishi na ujuaji wa kishamba wa watu wa Mwanza nnavyowajua,, kwenye hii ishu ya corona ni suala la muda tu,,
Tuombe Mungu
Eti ni suala la muda sasa mbona Dar ndo wamejisahau zaidi kwa sasa
 
Habari ya asubuhi wadau?

Ninaomba nitoe rai kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kutokana na hali halisi niliyoiona tangu nimeingia mkoa wa Mwanza wiki iliyopita.

Kwanza kuna mikusanyiko mingi sana kwenye baa Mwanza Mjini kuanzia saa moja jioni na kuendelea.

Pili kuna wafanyabishara wengi na wananchi wengi hawajachukua hatua yoyote mfano leo nmetembelea maeneo ya Dampo na kwenye masoko mengine yani watu wako bize na biashara hakuna hatua yoyote ya kujinga na maambukizi iliyochukuliwa.

Hakuna ndoo za maji za kuosha mikono kwa wajasiriamali.

Wafanya biashara zaidi ya 150 hakuna aliyevaa barakoa hata mmoja na akipita aliyevaa barakoa anazomewa au kuonekana ni mgonjwa tayari.

Pongezi ni kuwa ni Rock City Mall tu ndio huruhusiwi kuingia na kutoka pasipo kuvaa barakoa.

Cha ajabu na cha kushangaza ambacho kimenisukuma nije na bandiko pale mlangoni kuna vijana wanauza barakoa shilingi 1000 ama huna basi wanakukodisha kwa shilingi 500 unavaa uningia ukitoka unawarudishia wanakodisha wengine na wateja wao wakubwa ni bodaboda ambao wanatozwa 200 tu.

Wito wana habari nchini msisubiri majibu ya wamekufa wangapi wamepona wangapi ingieni mtaani mwelezee umma wa watanzania kinachotakiwa kufanyika.

Nipo Mwanza kwa sasa ntasema kweli daima kuwalinda wananchi wenzangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wanakodisha barakoa?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]Astaghafirulah
 
Anayewaambia hakuna corona akikaa na wenzake in mita 3 huku anaoga na kunywa sanitizer.
Nchi jirani wakishtukia watu wetu no wagonjwa anakasirika na kutuma RCs watangaze ugomvi.
Ubalozi wa US wakitahadharisha watu wao wanaitwa wizarani kujieleza kwa nini wana tahadharisha watu wao nani kawatuma?
Ana nia gani huyu? Tunapaswa kushtuka maana tunakwisha, ingekuwa haya yanafanywa na mtu mwingine hakika tayari tungesha mtangaza ni MTU hatari kwa kizazi hiki
 
Kumbe imefika hadi nyumbani kwa Nyani Ngabu

Unacheza wewe....Corona ipo Ikungu?

Ain’t nobody in Ikungu got time for that bullshit.

Njoo tule bata....

8AD499DB-7D83-4C97-820D-C21FA2BFFF46.jpeg
988779FF-C910-4F30-A82F-03FEF7AE5282.jpeg
 
Habari ya asubuhi wadau?
Nipo Mwanza kwa sasa ntasema kweli daima kuwalinda wananchi wenzangu.
Karibu sana kwetu ule sato wakubwa, wazuri, watamu, bila kusahau kuhudumiwa zile huduma!.
Tanzania tuna makabila mengi, na wana tabia tofauti tofauti, moja ya makabila haya ni watu wabishi mpaka basi!. Kiukweli kabila hili linaongoza kwa ubishi, naomba nisilitaje, ila Mungu bariki, kabila lenyewe limebarikiwa na Mungu, na sio tuu kwenye Corona, hata kwenye yale mengine, wengi wanapuyanga tuu peku peku, anayewalinda ni Mungu!, hivyo usiwe na wasiwasi kwa kuona mikusanyiko ya zero distance na bila barakoa, Mungu yupo ndiye anayewalinda na sio barakoa, na sio tuu Bugando hakuna mgonjwa hata mmoja, bali hata kwenye kituo cha karantini hakuna mtu!.
P
 
Anayewaambia hakuna corona akikaa na wenzake in mita 3 huku anaoga na kunywa sanitizer.
Nchi jirani wakishtukia watu wetu no wagonjwa anakasirika na kutuma RCs watangaze ugomvi.
Ubalozi wa US wakitahadharisha watu wao wanaitwa wizarani kujieleza kwa nini wana tahadharisha watu wao nani kawatuma?
Ana nia gani huyu? Tunapaswa kushtuka maana tunakwisha, ingekuwa haya yanafanywa na mtu mwingine hakika tayari tungesha mtangaza ni MTU hatari kwa kizazi hiki
Hao Nchi jirani walifunga mipaka lakini wenyewe wamefungua walipostuka wanalishwa matango pori,hakuna Corona Mwanza
 
Mdau sasa hivi changanya na za kwako usitegemee tu za kuambiwa . Pole sana

Back
Top Bottom