John John Msakuzi
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 296
- 103
Ulitoa maoni yako kwenye tume ya marekebisho ya kodi?Hii imesaidia vipi mbangaizaji au sababu huku tumeongeza kwanini pengine kwenye matozo wasipunguze....
Iwapo tunapunguza Utoaji Huduma (kubinafsisha); kwanini Kodi hazipungui? Je, tunaongeza kumbana Mwananchi ili kutoa (huduma) gani?
Kodi ni muhimu sana ili kufadhili shughuli za serikali, huduma kwa umma kama vile barabara na mashule, Usalama wa Jamii, Afya na Mengineyo. Sasa kama hata hayo kuanzia Elimu (Mikopo na Shule Binafsi); Afya tuna BIMA ya Afya na kulipia Private; Kuhakikisha wafanyakazi wanalipwa ujira stahiki...www.jamiiforums.com
Ustawi wa Jamii; A Penny Saved is a Penny Earned; Serikali inaweza Kumpunguzia Mzigo wa Matumizi Mwananchi hivyo Kumwongezea Kipato cha Kutumia
Maadui wetu hawajawahi Kubadilika Umasikini, Ujinga na Maradhi..., Vilevile Mahitahi Muhimu ya Binadamu hayabadilika (Chakula Malazi na Mavazi); Karne ya sasa ambayo sio kila mtu anaweza kuchukua Jembe na kwenda kulima mihogo na kupata kitoweo Pesa inahitajika. Hii ndio itakupatia mahitaji...www.jamiiforums.com
Hizi ndio Pumba kama Pumba nyingine..., kwahio kama kuna sehemu kuna barabara mbovu na watu wanapata ajali sababu sijawaambia au kuongea na TANROADS siruhusiwi kusema barabara ni mbovu ?Ulitoa maoni yako kwenye tume ya marekebisho ya kodi?
ungejibu kwanza hii mkuuHizi ndio Pumba kama Pumba nyingine..., kwahio kama kuna sehemu kuna barabara mbovu na watu wanapata ajali sababu sijawaambia au kuongea na TANROADS siruhusiwi kusema barabara ni mbovu ?
Je nalipwa kiasi gani na kuchukua Kodi kiasi gani ili niende kupeleka maoni huko, wao wanashindwa nini kuyatafuta huku ?
Na kama mpaka leo hawajatambua huu OMBWE baina na ya makusanyo na Value for Money maybe they are in the Wrong Jobs...
Sina muda wa kuwaambia watu (MAONI) jambo ambalo wanalifahamu fika (BASIC COMMON SENSE) nachoweza kufanya ni kutoa / kujibu Hoja humu ambazo huenda nitawataarifu watu (RAIA / WALIPA KODI) ambao huenda wanadhani hii ndio the best case Scenario..., Raia ambao hawajui kwamba kinachofanyika sio Hisani bali inabidi kiwe kwa ajili yao, maendeleo yao na kufanya maisha yao kuwa Bora na Nafuu na sio Vinginevyo....; Sasa hivi ni kama Mzazi anayefuja mali aliyoachiwa na Babu yake na kukopa huku na kule ili Vitukuu ndio waje kulipa....ungejibu kwanza hii mkuu
inajengwa miradi ndg yangu ambayo itasaidia hadi hivyo vizaziSina muda wa kuwaambia watu (MAONI) jambo ambalo wanalifahamu fika (BASIC COMMON SENSE) nachoweza kufanya ni kutoa / kujibu Hoja humu ambazo huenda nitawataarifu watu (RAIA / WALIPA KODI) ambao huenda wanadhani hii ndio the best case Scenario..., Raia ambao hawajui kwamba kinachofanyika sio Hisani bali inabidi kiwe kwa ajili yao, maendeleo yao na kufanya maisha yao kuwa Bora na Nafuu na sio Vinginevyo....; Sasa hivi ni kama Mzazi anayefuja mali aliyoachiwa na Babu yake na kukopa huku na kule ili Vitukuu ndio waje kulipa....
duuhHii imesaidia vipi mbangaizaji au sababu huku tumeongeza kwanini pengine kwenye matozo wasipunguze....
Iwapo tunapunguza Utoaji Huduma (kubinafsisha); kwanini Kodi hazipungui? Je, tunaongeza kumbana Mwananchi ili kutoa (huduma) gani?
Kodi ni muhimu sana ili kufadhili shughuli za serikali, huduma kwa umma kama vile barabara na mashule, Usalama wa Jamii, Afya na Mengineyo. Sasa kama hata hayo kuanzia Elimu (Mikopo na Shule Binafsi); Afya tuna BIMA ya Afya na kulipia Private; Kuhakikisha wafanyakazi wanalipwa ujira stahiki...www.jamiiforums.com
Ustawi wa Jamii; A Penny Saved is a Penny Earned; Serikali inaweza Kumpunguzia Mzigo wa Matumizi Mwananchi hivyo Kumwongezea Kipato cha Kutumia
Maadui wetu hawajawahi Kubadilika Umasikini, Ujinga na Maradhi..., Vilevile Mahitahi Muhimu ya Binadamu hayabadilika (Chakula Malazi na Mavazi); Karne ya sasa ambayo sio kila mtu anaweza kuchukua Jembe na kwenda kulima mihogo na kupata kitoweo Pesa inahitajika. Hii ndio itakupatia mahitaji...www.jamiiforums.com
View attachment 3438139
::
MKuu huyo wa Mkoa wa Tabora mbele ya Waandishi wa habari amesema Rais Samia ameongeza Mapato ya Madini Tabora kutoka TZS 40bn hadi TZS 133bn ndani ya miaka minne(4).
Katika kipindi cha 2021 hadi 2025, Serikali chini ya Rais Samia imeimarisha sekta ya madini mkoani Tabora kwa kuongeza uzalishaji wa madini kutoka tani 0.34 mwaka 2020 hadi tani 0.8 mwaka 2025,
Thamani ya fedha za kigeni zilizopatikana kutokana na uuzaji wa madini ikiongezeka kutoka USD15,068,988 au TZS 39.5 bilioni mwaka 2020 hadi USD60,692,090.41 sawa TZS 133.0 bilioni mwaka 2025.
Mapato ya Halmashauri kutoka sekta hiyo yameongezeka kutoka TZS118.63milioni mwaka 2020 hadi TZS399.06milioni mwaka 2025. Aidha, vituo vya madini vimeongezeka kutoka kituo 1 mwaka 2020 hadi vituo 5 mwaka 2025, na leseni za wachimbaji wadogo kutoka 136 mwaka 2020 hadi 574 mwaka 2025

sawa mkuuAsante sana
Mitano tanosawa mkuu
tuko imara sanaMitano tano