DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Wananchi wa Wilaya ya Babati, mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo, Queen Sendiga, wamepongeza Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kumchagua Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini, Daniel Sillo, kuwa Naibu Spika wa Bunge.
Sendiga amesema kuaminiwa kwa Sillo ni heshima kubwa kwa mkoa huo, ambao umeendelea kuongoza kwa utulivu wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu, na wamemtakia kila la heri katika majukumu yake mapya.