Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi nimeipenda sana. Bado tu kwa SSH aje huku vijijini kwetu aishi kwenye hizi nyumba zetu za msonge zisizo na madirisha, ale vyakula vyetu; ajue maisha yetu, kabla hajaidhinisha tozo zaidi na kuruhusu mfumko wa bei kwa kisingizio cha kufungua nchi.Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh Queen sendiga akiwa amevalia uniform za wanafunzi wa shule ya wasichana ya Manyara alipoenda kuwatembelea mapema leo.
View attachment 3069963
Au aende shule ya chekechea nae avae uniform za chekecheaBinafsi nimeipenda sana. Bado tu kwa SSH aje huku vijijini kwetu aishi kwenye hizi nyumba zetu za msonge zisizo na madirisha, ale vyakula vyetu; ajue maisha yetu, kabla hajaidhinisha tozo zaidi na kuruhusu mfumko wa bei kwa kisingizio cha kufungua nchi.
Aiseee sio poa mkuu asa mtu mkubwa ivo anavaaje ivo anyway kuna steji ukifika unakuwa na akili za kitotoMkuu wa Mkoa wa Manyara Mh Queen sendiga akiwa amevalia uniform za wanafunzi wa shule ya wasichana ya Manyara alipoenda kuwatembelea mapema leo.
View attachment 3069963
Safi sana.Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh Queen sendiga akiwa amevalia uniform za wanafunzi wa shule ya wasichana ya Manyara alipoenda kuwatembelea mapema leo.
View attachment 3069963