RC Queen Sendiga awatembelea wanafunzi akiwa ametinga sare za shule

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh Queen sendiga akiwa amevalia uniform za wanafunzi wa shule ya wasichana ya Manyara alipoenda kuwatembelea mapema leo.

View attachment 3069963
Ingependeza kama angeenda na joho la degree ya kweli (ingawaje sijui kama anayo hata moja) ili kuwatia hamasa ya kufaulu.
 
Kachagua kuendana na mazingira husika!.
 
Back
Top Bottom