RC Queen Sendiga awatembelea wanafunzi akiwa ametinga sare za shule

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh Queen sendiga akiwa amevalia uniform za wanafunzi wa shule ya wasichana ya Manyara alipoenda kuwatembelea mapema leo.

View attachment 3069963
Binafsi nimeipenda sana. Bado tu kwa SSH aje huku vijijini kwetu aishi kwenye hizi nyumba zetu za msonge zisizo na madirisha, ale vyakula vyetu; ajue maisha yetu, kabla hajaidhinisha tozo zaidi na kuruhusu mfumko wa bei kwa kisingizio cha kufungua nchi.
 
Au aende shule ya chekechea nae avae uniform za chekechea
 
Baada ya hapo anazipeleka wapi anyway sio mbaya ki ukweli kachekesha
Back in herself ni kiongozi mzuri sana na anajitahidi kutekeleza majukumu yake bila kuonea mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…