McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Cuthbeth ametoa onyo kwa wananchi wanaopanga kupanga kufanya maandamano siku ya Oktoba 29 akisema:
"Kama serikali tunawajibu wa kukemea mapema, yeyote ama kundi linalopanga kufanya vurugu kwa kujishawishi mwenyewe ama kushawishiwa kwa makusudi ama kwa bahati mbaya kwenda kutufanyia vurugu katika siku hii, sisi kama serikali tunatoa onyo kubwa na kali kabisa hatutokuacha salama na hatutakuvumilia. Amua mapema unakuja Mtaani tukutane ama tupige kura kwa amani turudi nyumbani.
“Hatutamvumilia atakayevuruga siku hii maalumu kwa upigaji wa kura. Mkoa wa Manyara ni “Wrong number”,kamwe usijaribu kuvuruga siku hii ya neema na baraka kwa wananchi kuamua hatma ya miaka yao mitano ijayo.”