RC Said Mtanda amekuwa akituhumiwa kwa matendo yasiyo ya kiuongozi. Je, kwa alichowafanyia viongozi wa Simba atabakishwa ofisini?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Mkuu wa mkoa wa kwanza alituhumiwa tukio la unyanyasaji kingono lililomhusisha RC Simiyu. Mamlaka kwa makusudi zikamwacha ofisini

Sasa hivi viongozi wa Simba wamelalamika hadharani kwamba amekwenda kukamata viongozi wao akiwa na polisi na kuelekeza wawekwe ndani. Wakati akifanya haya yeye tayari kwenye mpira ana conflict of interest

1. Ni mlezi wa club ya Pamba

2. Ni mwanachama wa Yanga ambao ni wapinzani wakubwa Simba

3. Anazo hasira binafsi kutokana na matokeo mabaya ya Yanga.

Je, mamlaka za uteuzi zitaendelea kumvumilia kwa utovu huu wa nidhamu na kushindwa kutenganisha hisia na ushabiki wake na kofia ya Ukuu wa Mkoa?

Je, mkuu wa wilaya na OCD walishindwa kusimamia amani hadi yeye aingie uwanjani kukamata viongozi wa timu pinzani?
 
Yaani huoni makosa ya waziri wa tamisemi ndugu Mchengerwa, kuwaengua wagombea wa vyama vya upinzani, unamuona Said Mtanda na upumbavu wako wa ushabiki wa Simba na Yanga?

Rais usithibutu kumgusa Mtanda kisa kawakataza Simba kufanya ulozi uwanjani. Badala yake shughulika na Mchengerwa.
 
Kesho wote wanaobeti weka mzigo wa kutosha kwa pamba Jiji,
 
Yaani huoni makosa ya waziri wa tamisemi ndugu Mchengerwa, kuwaengua wagombea wa vyama vya upinzani, unamuona Said Mtanda na upumbavu wako wa ushabiki wa Simba na Yanga?

Rais usithibutu kumgusa Mtanda kisa kawakataza Simba kufanya ulozi uwanjani. Badala yake shughulika na Mchengerwa.
Mtanda ni shabiki kindakindaki wa Yanga, hua ana tabia ya kutumia MADARAKA yake vibaya.. Anajiamini hakuna wa kumfanya lolote kwani yeye ni mtu wa karibu na viongozi wa juu. Pia husema alikuwa kampeni meneja wa PM na alimpa Jimbo mkuu Fulani...kwahiyo hata afanye ama akosee nini hutaskia mamlaka zikimchukulia HATUA.

Na ana tabia ya kuhonga vyombo vya habari kumsafisha akifanya baya lolote
 
Yaani huoni makosa ya waziri wa tamisemi ndugu Mchengerwa, kuwaengua wagombea wa vyama vya upinzani, unamuona Said Mtanda na upumbavu wako wa ushabiki wa Simba na Yanga?

Rais usithibutu kumgusa Mtanda kisa kawakataza Simba kufanya ulozi uwanjani. Badala yake shughulika na Mchengerwa.
Utopolo umechanganya mada hata kama ulikuwa na nia nzuri imekuwa mbaya.
Ulozi umetoka wapi katika ujinga aliofanya Mtanda?
Wamezoea kufanya ya hovyo kwenye siasa na wamezoea sasa wanaleta mpaka kwenye mpira?
Wamezoea kila kitu wafanyacho kumtaja Rais Samia, nasi tunawaambia wana Simba kuwa aliyotenda Mtanda ndio falsafa ya Rais Samia kwa hiyo ikiwapendeza "mitano tena" maana lazima "timu ya kijani" itafutiwe ubingwa bila hofu kwani ni ya chama.
 
Mkuu wa mkoa wa Kwanza alituhumiwa tukio la unyanyasaji kingono lililomhusisha RC Simiyu. Mamlka kwa makusudi zikamwacha ofisini

Sasa hivi viongozi wa Simba wamelalamika adharani kwamba amekwenda kukamata viongozi wao akiwa na polisi na kuelekeza wawekwe ndani. Wakati akifanya haya yeye tayari kwenye mpira ana conflict of interest

1. Ni mlezi wa club ya Pamba

2. Ni mwanachama wa Yanga ambao ni wapinzani wakubwa Simba

3. Anazo hasira binafsi kutokana na matokeo mabaya ya Yanga.

Je, mamlaka za uteuzi zitaendelea kumvumilia kwa utovu huu wa nidhamu na kushindwa kutenganisha hisia na ushabiki wake na kofia ya Ukuu wa Mkoa?

Je, mkuu wa wilaya na OCD walishindwa kusimamia amani hadi yeye aingie uwanjani kukamata viongozi wa timu pinzani?
Hadharani.....sio Adharani
 
Mkileta fujo muachwe tu?Mchome uwanja wetu tunawaangalia tu?
 
Alinaribu kupotosha haki distortion of justice kwenye issue ya RC No wander hakuguswa, ije kua hii!
 
H
Utopolo umechanganya mada hata kama ulikuwa na nia nzuri imekuwa mbaya.
Ulozi umetoka wapi katika ujinga aliofanya Mtanda?
Wamezoea kufanya ya hovyo kwenye siasa na wamezoea sasa wanaleta mpaka kwenye mpira?
Wamezoea kila kitu wafanyacho kumtaja Rais Samia, nasi tunawaambia wana Simba kuwa aliyotenda Mtanda ndio falsafa ya Rais Samia kwa hiyo ikiwapendeza "mitano tena" maana lazima "timu ya kijani" itafutiwe ubingwa bila hofu kwani ni ya chama.
Hamieni ligi ya Burundi
 
Yaani huoni makosa ya waziri wa tamisemi ndugu Mchengerwa, kuwaengua wagombea wa vyama vya upinzani, unamuona Said Mtanda na upumbavu wako wa ushabiki wa Simba na Yanga?

Rais usithibutu kumgusa Mtanda kisa kawakataza Simba kufanya ulozi uwanjani. Badala yake shughulika na Mchengerwa.
Ulozi na uganga ni utamaduni wa mwaaafrika,dini ni ustaarabu wa wazungu na waarabu NAO ni ulozi wa nafsi zetu coz Dini zimeloga wengi sana wakawa vichaa japo wanaonekana wapo sawa!!

Unaamini Mama yetu yeye harogi!!?

Harogi!!?
 
1. Ni mlezi wa club ya Pamba

2. Ni mwanachama wa Yanga ambao ni wapinzani wakubwa Simba

3. Anazo hasira binafsi kutokana na matokeo mabaya ya Yanga.
1. Kuwa mlezi wa Pamba amefanya kosa lipi?
2. Kuwa mwanachama wa Yanga ni kosa?
3. Hizo hasira binafsi unaweza kuzithibitisha kama ulivyo tuhumu?
 
Sasa kila kiongozi wa Sirikali akitumia hisia kuwadhohofisha timu wapinzani dhidi ya timu anayoipenda kutakua na mpira tena hapa...

Hili nalo litazamwe FIFA waliona mbali Mamlaka + Hisia = Unfairness kwa Mpira.
 
Yaani huoni makosa ya waziri wa tamisemi ndugu Mchengerwa, kuwaengua wagombea wa vyama vya upinzani, unamuona Said Mtanda na upumbavu wako wa ushabiki wa Simba na Yanga?

Rais usithibutu kumgusa Mtanda kisa kawakataza Simba kufanya ulozi uwanjani. Badala yake shughulika na Mchengerwa.
Mapenz yalizaliwa Rufiji binti wa kizanzibar kakolezwa haoni hasikii kitu,

Ungekuwa wewe ndio mama mkwe ungethubutu kumtumbua mkweo?
 
Back
Top Bottom