Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Wanawake hampendaniTumsime amekiri kuwa ni kahaba, kwa kuwa amesema alikuwa na mahusiano na RC Nawanda, Sasa habari ya walifanya nnwakiwa kitandani sioni Sababu ya kuwa ni ajenda ama kesi.
Inadaiwa huyu binti alimnyonya uume RC Nawanda bila ya yeye (Nawanda) kuridhia, na mpk sasa uume wake umevimba na unauma. Lkn, Nawanda wala hajafungua kesi kwakuwa aliridhia.
Sasa kwann huyu Tumsime anamshitaki Nawanda wakati aliridhia kugawa tigo yake kwa hiari??
Mazingira ya kesi inaonesha kuna ulawiti umefanyika na labda si mara moja na sasa binti amechoka, tukubali tu kuwa ni kweli haya mambo yametokea hata kama habari hizi hazitupendezi, ukatili umefanywa na mteuele wa Rais akisaidiwa na mteule mwenzake RC wa Mwanza anaetaka kuzima kesi kibabe kwakuwa haimuumi Tumsime si binti yake.Mtu ameshasema alikuwa mpenzi wake sasa tukiulize imekuwaje hadi aanze kulalamika leo huyu binti kuna kitu anatuficha ,kiufupi kanatumika na maadui wa huyo mpenzi wake
Ebhanaeeeee 😆Tumsime amekiri kuwa ni kahaba, kwa kuwa amesema alikuwa na mahusiano na RC Nawanda, Sasa habari ya walifanya nnwakiwa kitandani sioni Sababu ya kuwa ni ajenda ama kesi.
Inadaiwa huyu binti alimnyonya uume RC Nawanda bila ya yeye (Nawanda) kuridhia, na mpk sasa uume wake umevimba na unauma. Lkn, Nawanda wala hajafungua kesi kwakuwa aliridhia.
Sasa kwann huyu Tumsime anamshitaki Nawanda wakati aliridhia kugawa tigo yake kwa hiari??
Damu kumeagika kuna mapigano hapo ya kutoana roho? Mi nauliza tu kwa nyinyi wajuzi wa mambo!Kutokana na Hii Kesi wanaume tuwe makini sana.. mabinti wengi waliolawitiwa wanaweza kukulengesha uwalawiti hata kwa kutelezeshea na kisha kukutaka Uwape hela Nyingi Sana kinyume na makubaliano na kisha wanakupeleka mahakamani.
Huyo binti alipata Michubuko inayoashiria Ubakwaji? Maana kwa tukio la kwenye gari lingeweza kumsababishia marinda kutatuka na damu kumwagika.
Kodi za Simiyu na Mwanza!! Sisiemu mbele kwa mbele!!Imeniuma sana yaani Mimi Kodi yangu inatumika kwenye kulawiti?
Hoja nzito 💯.Mazingira ya kesi inaonesha kuna ulawiti umefanyika na labda si mara moja na sasa binti amechoka, tukubali tu kuwa ni kweli haya mambo yametokea hata kama habari hizi hazitupendezi, ukatili umefanywa na mteuele wa Rais akisaidiwa na mteule mwenzake RC wa Mwanza anaetaka kuzima kesi kibabe kwakuwa haimuumi Tumsime si binti yake.
Hapa utajiuliza mabinti wangapi wako mapenzini na viongozi wakubwa? Nenda Dodoma ukaone, Labda tuseme mabinti 100, je mbona hatujasikia wakishtaki ulawiti? Kwanini iwe Tumsime? Hawa ma RC wawili hawafai watumbuliwe
Kwahiyo wanaolawitiwa wote kwa kubakwa ni LAZMA wapakwe kilainishi?Walikosa ushahidi wa kilainishi. Wanajiuliza ataingiliwaje bila kilainishi? Au ana shimo la choo?
Mkuu hata mke wako wa miaka 30 si anaweza kukushitaki kwa kumbaka?Kuwa wapenzi sio kibali cha kulawiti,
Hata mke wako wa ndoa wa miaka 30 ukimlawiti ni kosa la jinai kwa sheria za nchi hii.
imagine, huyo naye ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa mkoa mzima. analinda usalama wa nani kama wanaolawitiwa anawashut up? fukuza kabisa walawiti hawa.Hapa nasikiliza video ya Binti Tumsiime anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Nawanda. Binti ameelezea kwa kina sakata zima la kulawitiwa, mpaka msukumo mzima wa kutaka kuzima kesi.
Binti Tumsiime ameelezea kuwa baada ya kufanyiwa kitendo kile, aliripoti kituo cha polisi kwa hatua za kisheria zaidi. Wakati akiwa na Polisi wakifanya uchunguzi na kukusanya ushahidi, ghafla alitafutwa na RC Mtanda ambaye alitaka waonane ofisini kwake, binti anadai alikataa na kusema yupo na polisi lakini RC Mtanda alitumia mamlaka yake na hatimaye kuonana na binti huyo.
Binti anadai baada ya kufika Ofisini kwa Mtanda, RC huyo alimsihi suala hilo aliondoe polisi ili limalizwe kifamilia ila binti aliamua kukaza. Anadai kuwa akiwa ofisini RC Mtanda aliongea kilugha na Dkt. Nawanda (nadhani kimakonde).
RC Mtanda aliwaita Polisi waliokuja na binti huyo na kuwaambia ameshaongea na Binti na kesho wampokee vizuri anakuja kufuta kesi. Binti hakufanya hivyo kama alivyotakiwa kufanya na RC Mtanda.
Kwa mujibu wa binti huyo, RC Mtanda aliendelea kuinjinia mpango mzima wa kuzima sakata ikiwa ni pamoja na kushiriki kumwandikisha barua feki ya kufuta kesi, kumshawishi mama mzazi wa binti nk nk.
Hoja yangu hapa; RC Mtanda kama kiongozi wa umma alipaswa kuwa mstari wa mbele kuheshimu na kusimamia sheria, badala yake anatumia mamlaka ambayo tumempatia kutaka kudhulumu haki ya Tumsiime.
Rais Samia, Watanzania hatutakuelewa endapo RC Mtanda ataendelea kuwa Mkuu wa mkoa, amekosa sifa za kuwa mfano wa kuigwa.
Pia soma
bibi kizee ni mtaalamu wa kulawitiwa, ona anavotoa maushuhuda. ushungi huwa unaficha mengi sana hakika.Walikosa ushahidi wa kilainishi. Wanajiuliza ataingiliwaje bila kilainishi? Au ana shimo la choo?
kwa tanzania, kubaka huwezi kubaka mke, ila kama umelawiti, anakushitaki na unafungwa.Mkuu hata mke wako wa miaka 30 si anaweza kukushitaki kwa kumbaka?
nadhani watu tu wa HAKITV wameamua kumsaidia ku air hiyo habari, baada ya kuona binti hana nguvu yeyote kutafuta haki yake. na bila kufanya hivyo binti angeweza hata kuuliwa.Huyu Binti mpaka anafanya media tour hivi basi kuna kitu kinatafutwa nyuma yake.
Mana kitendo cha aibu kama hicho mtu huwezi kutoka hadharani na kuongea ulichofanyiwa tena na radio changa kama hiyo crown
Kuna kitu nyuma yake .Amini kwamba
Hata kama wangekuwa mke na mme; ulawiti ni kosa la jinai kwa mujibu wa Sheria.Sema hii issue iko complicated ukizingatia anadai “walikuwa wapenzi” kwa miezi sita.
Najuwa, Ila nahisi kwasababu walikuwa kwenye mahusiano, kutakuwa na “he said she said” nyingi ambazo sasa mwisho wa siku ushahidi utakaopelekwa especially kutoka kwa daktari.Hata kama wangekuwa mke na mme; ulawiti ni kosa la jinai kwa mujibu wa Sheria.
hujui hata unachoongelea, hapa unaongelea kesi za kubaka ujue. ambazo ushahidi wa victim ni wa kuaminiwa sana. ukijumlisha na conduct za uyu jamaa za kuhonga mahela, kuomba mamsamaha, kupiga masimu n.k, unashindwaje kuamini?Ushahidi wa kesi hizi na za aina hii ni zaidi ya hapo Mkuu.
(1) Material evidences
(2) Eye witnesses
(3) Expert opinions
Huwezi kuja na kundi moja tu la ushahidi na kuhitimisha kuwa upande fulani una hatia.
Siungi mkono tabia ya ulawiti ila nitakuwa wa mwisho kuafiki kinachosemwa na Binti tajwa. Yaliwahi kunikuta yanayofanana na hayo na ushahidi ulitolewa kiasi cha kuaminika ni kweli ipo hivyo.
Hata kama mke wako akikataa usimuingilie kimwili na wewe ukafanya kwa nguvu siyo kubaka?kwa tanzania, kubaka huwezi kubaka mke, ila kama umelawiti, anakushitaki na unafungwa.
Sasahivi hatuna vetting tuna makada tupuJust imagine zamani viongozi wakubwa kama hawa walikuwa wanaheshimika tulikuwa tunawacgukulia kama wazazi najaribu kuwaza hivi angekuwa binti wa mtanda amefanyiwa kitendo hicho angemlazimisha kufuta kesi kweli na kumlazimisha asiendelee nayo