RC Said Mtanda wa Mwanza hastahili kuwa kiongozi wa umma kwa kutaka kuzima kesi ya Binti Tumsiime anayedai kulawitiwa na Dkt. Nawanda

RC Said Mtanda wa Mwanza hastahili kuwa kiongozi wa umma kwa kutaka kuzima kesi ya Binti Tumsiime anayedai kulawitiwa na Dkt. Nawanda

Tumsime amekiri kuwa ni kahaba, kwa kuwa amesema alikuwa na mahusiano na RC Nawanda, Sasa habari ya walifanya nnwakiwa kitandani sioni Sababu ya kuwa ni ajenda ama kesi.

Inadaiwa huyu binti alimnyonya uume RC Nawanda bila ya yeye (Nawanda) kuridhia, na mpk sasa uume wake umevimba na unauma. Lkn, Nawanda wala hajafungua kesi kwakuwa aliridhia.

Sasa kwann huyu Tumsime anamshitaki Nawanda wakati aliridhia kugawa tigo yake kwa hiari??
Wanawake hampendani
 
Mtu ameshasema alikuwa mpenzi wake sasa tukiulize imekuwaje hadi aanze kulalamika leo huyu binti kuna kitu anatuficha ,kiufupi kanatumika na maadui wa huyo mpenzi wake
Mazingira ya kesi inaonesha kuna ulawiti umefanyika na labda si mara moja na sasa binti amechoka, tukubali tu kuwa ni kweli haya mambo yametokea hata kama habari hizi hazitupendezi, ukatili umefanywa na mteuele wa Rais akisaidiwa na mteule mwenzake RC wa Mwanza anaetaka kuzima kesi kibabe kwakuwa haimuumi Tumsime si binti yake.

Hapa utajiuliza mabinti wangapi wako mapenzini na viongozi wakubwa? Nenda Dodoma ukaone, Labda tuseme mabinti 100, je mbona hatujasikia wakishtaki ulawiti? Kwanini iwe Tumsime? Hawa ma RC wawili hawafai watumbuliwe
 
Tumsime amekiri kuwa ni kahaba, kwa kuwa amesema alikuwa na mahusiano na RC Nawanda, Sasa habari ya walifanya nnwakiwa kitandani sioni Sababu ya kuwa ni ajenda ama kesi.

Inadaiwa huyu binti alimnyonya uume RC Nawanda bila ya yeye (Nawanda) kuridhia, na mpk sasa uume wake umevimba na unauma. Lkn, Nawanda wala hajafungua kesi kwakuwa aliridhia.

Sasa kwann huyu Tumsime anamshitaki Nawanda wakati aliridhia kugawa tigo yake kwa hiari??
Ebhanaeeeee 😆
 
Kutokana na Hii Kesi wanaume tuwe makini sana.. mabinti wengi waliolawitiwa wanaweza kukulengesha uwalawiti hata kwa kutelezeshea na kisha kukutaka Uwape hela Nyingi Sana kinyume na makubaliano na kisha wanakupeleka mahakamani.

Huyo binti alipata Michubuko inayoashiria Ubakwaji? Maana kwa tukio la kwenye gari lingeweza kumsababishia marinda kutatuka na damu kumwagika.
Damu kumeagika kuna mapigano hapo ya kutoana roho? Mi nauliza tu kwa nyinyi wajuzi wa mambo!
 
Mazingira ya kesi inaonesha kuna ulawiti umefanyika na labda si mara moja na sasa binti amechoka, tukubali tu kuwa ni kweli haya mambo yametokea hata kama habari hizi hazitupendezi, ukatili umefanywa na mteuele wa Rais akisaidiwa na mteule mwenzake RC wa Mwanza anaetaka kuzima kesi kibabe kwakuwa haimuumi Tumsime si binti yake.

Hapa utajiuliza mabinti wangapi wako mapenzini na viongozi wakubwa? Nenda Dodoma ukaone, Labda tuseme mabinti 100, je mbona hatujasikia wakishtaki ulawiti? Kwanini iwe Tumsime? Hawa ma RC wawili hawafai watumbuliwe
Hoja nzito 💯.
 
Walikosa ushahidi wa kilainishi. Wanajiuliza ataingiliwaje bila kilainishi? Au ana shimo la choo?
Kwahiyo wanaolawitiwa wote kwa kubakwa ni LAZMA wapakwe kilainishi?

Mimi naangalia hoja iliyopo mezani ya huyo Said Mtanda kujaribu kuzima kesi. Huyu Said Mtanda alimkandamiza mtoto wa marehemu dada yangu kipindi akiwa DC wa Arusha mjini.

Huyu mpwa wangu hana mume na ana watoto lakini kwakuwa aliemtendea uhalifu alikuwa rafiki wa mtanda, mtanda alibatilisha maamuz yaliyofikiwa kipindi Cha mtangulizi wake na swala hili LILIKUWA limeshatatuliwa. Mtangulizi wa Mtanda alikuwa mh. Sophia Mjema. Mtanda alimwambia mpwa wangu "we mwanamke" UKIJARIBU kwenda kushtaki huko juu nitakuwekea vizingiti na vikwazo na hutafanikiwa. Na alifanya hivyo aliandika barua na report za kumkandamiza huyu mama.

Mtanda hakuwaza mustakabali wa maisha ya watoto wa huyo mama, bali alijali kumkomoa, kumzima na kufurahisha maswahiba zake. Mpaka Leo mama yule anazungushwa tu kisa ni huyo Said Mtanda. Ana dharau wanawake sana.

Hapo alidharau maamuzi yaliyofanyika kipindi mtangulizi wake ni mwanamke na nimemshuhudia sio mara moja hapa Arusha mjini akifanya vitendo vya kudharaulisha utu wa mwanamke.

Kisha anawatishia watu yeye ni mtu wa karibu na baadhi ya viongozi wa zamani na wa sasa. Nakumbuka hiyo siku akijigamba kwamba yule mama atamwekea vikwazo alijinasibu alikuwa campaign manager wa kiongozi flani wa juu, na alionyesha dhahiri kabisa chuki yake na dharau dhidi ya wanawake.

Ifike mahali hawa viongozi wafahamu hii nchi ni yetu sote wasitumie madaraka kuumiza wananchi.

Kwa muktada huu naamini kabisa Said Mtanda amerudia jaribio la kuzima haki za watu kwa kutumia MADARAKA yake kama alivyofanya Arusha.

Mamlaka za teuzi zimtizame kwa jicho la tatu, na zichunguze hizi tuhuma.. kwa issue hii Mtanda alipaswa kuviacha vyombo vya usalama kufanya kazi kwa uhuru Ili haki ya Kila mmoja ipatikane.
 
Kuwa wapenzi sio kibali cha kulawiti,
Hata mke wako wa ndoa wa miaka 30 ukimlawiti ni kosa la jinai kwa sheria za nchi hii.
Mkuu hata mke wako wa miaka 30 si anaweza kukushitaki kwa kumbaka?
 
Hapa nasikiliza video ya Binti Tumsiime anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Nawanda. Binti ameelezea kwa kina sakata zima la kulawitiwa, mpaka msukumo mzima wa kutaka kuzima kesi.

Binti Tumsiime ameelezea kuwa baada ya kufanyiwa kitendo kile, aliripoti kituo cha polisi kwa hatua za kisheria zaidi. Wakati akiwa na Polisi wakifanya uchunguzi na kukusanya ushahidi, ghafla alitafutwa na RC Mtanda ambaye alitaka waonane ofisini kwake, binti anadai alikataa na kusema yupo na polisi lakini RC Mtanda alitumia mamlaka yake na hatimaye kuonana na binti huyo.

Binti anadai baada ya kufika Ofisini kwa Mtanda, RC huyo alimsihi suala hilo aliondoe polisi ili limalizwe kifamilia ila binti aliamua kukaza. Anadai kuwa akiwa ofisini RC Mtanda aliongea kilugha na Dkt. Nawanda (nadhani kimakonde).

RC Mtanda aliwaita Polisi waliokuja na binti huyo na kuwaambia ameshaongea na Binti na kesho wampokee vizuri anakuja kufuta kesi. Binti hakufanya hivyo kama alivyotakiwa kufanya na RC Mtanda.

Kwa mujibu wa binti huyo, RC Mtanda aliendelea kuinjinia mpango mzima wa kuzima sakata ikiwa ni pamoja na kushiriki kumwandikisha barua feki ya kufuta kesi, kumshawishi mama mzazi wa binti nk nk.

Hoja yangu hapa; RC Mtanda kama kiongozi wa umma alipaswa kuwa mstari wa mbele kuheshimu na kusimamia sheria, badala yake anatumia mamlaka ambayo tumempatia kutaka kudhulumu haki ya Tumsiime.

Rais Samia, Watanzania hatutakuelewa endapo RC Mtanda ataendelea kuwa Mkuu wa mkoa, amekosa sifa za kuwa mfano wa kuigwa.

Pia soma
imagine, huyo naye ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa mkoa mzima. analinda usalama wa nani kama wanaolawitiwa anawashut up? fukuza kabisa walawiti hawa.
 
Huyu Binti mpaka anafanya media tour hivi basi kuna kitu kinatafutwa nyuma yake.

Mana kitendo cha aibu kama hicho mtu huwezi kutoka hadharani na kuongea ulichofanyiwa tena na radio changa kama hiyo crown

Kuna kitu nyuma yake .Amini kwamba
nadhani watu tu wa HAKITV wameamua kumsaidia ku air hiyo habari, baada ya kuona binti hana nguvu yeyote kutafuta haki yake. na bila kufanya hivyo binti angeweza hata kuuliwa.
 
Hata kama wangekuwa mke na mme; ulawiti ni kosa la jinai kwa mujibu wa Sheria.
Najuwa, Ila nahisi kwasababu walikuwa kwenye mahusiano, kutakuwa na “he said she said” nyingi ambazo sasa mwisho wa siku ushahidi utakaopelekwa especially kutoka kwa daktari.

Kama haikuwa mara yake ya kwanza kuingiliwa kinyume na maumbile, kunaweza kukazuka maswali mengi kutoka kwenye kambi ya utetezi.

Maana hili suala limekuwa kawaida sana kwa wa dada wengi kuingiliwa kinyume cha maumbile tena wengine wakijisifia kabisa mfano Zuchu.
 
Ushahidi wa kesi hizi na za aina hii ni zaidi ya hapo Mkuu.
(1) Material evidences
(2) Eye witnesses
(3) Expert opinions
Huwezi kuja na kundi moja tu la ushahidi na kuhitimisha kuwa upande fulani una hatia.
Siungi mkono tabia ya ulawiti ila nitakuwa wa mwisho kuafiki kinachosemwa na Binti tajwa. Yaliwahi kunikuta yanayofanana na hayo na ushahidi ulitolewa kiasi cha kuaminika ni kweli ipo hivyo.
hujui hata unachoongelea, hapa unaongelea kesi za kubaka ujue. ambazo ushahidi wa victim ni wa kuaminiwa sana. ukijumlisha na conduct za uyu jamaa za kuhonga mahela, kuomba mamsamaha, kupiga masimu n.k, unashindwaje kuamini?

cha kwanza cha kuestablish ni hivi:

1. binti anafahamiana na RC na alikuwa mpenzi wake.
2. Binti alikutana na rc siku ya tukio.
3. Binti anafafanua vizuri namna tukio lilivyotokea (credibility yake iwe vyema).
4. Binti anathibitisha rc alituma watu kwa mama yake kuomba radhi na alitoa pesa.
5. mama atakuja kuongeza ushahidi kwamba jamaa alikuja kwake kuomba radhi.
6. bank statement itatolewa kuthibitisha kwamba RC aliweka pesa kwenye account
7. daktari atakuja kutoa PF3 na kueleza alivyoona.
8. nguo chafu za binti zitakuja kutolewa.
9. watatoa pia cctv footage ya pale rockcity mall, zipo.
10. marafiti wa binti anaosoma nao watatoa ushahidi namna alivyowapigia mno kuomba connection msamaha.

kwa ushahidi kama huu, RC anachomokea wapi? halafu kwa akili ya kawaida tu, kama RC hakuwa na uhusiano na binti na hakulawiti, kwanini amenyamaza sana hata hajaita press na kujisafisha? kweli nani mwenye uwezo kumsingizia RC kwa ujasiri namna ile? na RC gani ambaye angesingiziwa akatulia kimyaaa kutapatapa kuhonga kama hakufanya icho kitu. msingizie kama makonda hivi uone kama hapatawaka moto, atakavyoleta ushahidi kinzani hata nje ya mahakama.

nakuambia, kama angekuwa amesingizia tu sasaivi binti angekuwa ndani amefungwa gerezani.
 
Just imagine zamani viongozi wakubwa kama hawa walikuwa wanaheshimika tulikuwa tunawacgukulia kama wazazi najaribu kuwaza hivi angekuwa binti wa mtanda amefanyiwa kitendo hicho angemlazimisha kufuta kesi kweli na kumlazimisha asiendelee nayo
 
Back
Top Bottom