RC Said Mtanda wa Mwanza hastahili kuwa kiongozi wa umma kwa kutaka kuzima kesi ya Binti Tumsiime anayedai kulawitiwa na Dkt. Nawanda

Hii kesi ya Ulawiti dhidi ya huyo binti (Mwanafunzi) inabidi kuchunguzwa kwa makini sana. Bado kuna maelezo mengi sana hata kwa binti mwenyewe.

Kuanzia kukutana na RC, RC kumtaka kimapenzi na yeye kukubali ilihali anatambua bado ni Mwanafunzi na kisha kwenda na RC maeneo ya faragha kwa kusudi ya kuvunja amri ya sita.

Na alivyoingiwa kinyume na maumbile, kiukweli bado kuna maswali mengi sana... Hapa inabidi uchunguzi/upelelezi wa kina kufanyika na sio kutumia hisia. Kamwe tusiruhusu hisia kutuongoza.
 
True but sidhani kama Binti ni Chizi. Tufike mahali tuwe na utu. Angekuwa mtu wa kawaida saa hz anaongelea Segerea. Binadamu wote siyo sawa mbele ya Sheria au?
Ni kweli, anaweza asiwe chizi, but what if ni njama na michezo ya kuchafuana kisiasa, let's say binti ametumwa/ametumika n.k, hizi ndio doubts tunazozungumzia, lazima mahakama ithibitishe beyond reasonable doubts, hakuna kesi inayoamuliwa kwa kusikiliza upande mmoja, hakuna Sheria ya namna hiyo duniani kote, LAW IS LAW. Huwezi kufanya maamuzi ya kisheria kwa kutumia hisia, sympathy.
 
Mpuuzi sana Mtanda,angekuwa mwanae angepokea hela ili isuluhishwe?
 
Sasa hapo kwa maelezo yako Sijaona alipovunia SHERIA
7bu kuongea na mlalamikaji na kuomba wamalize kifamilia sio kosa kama mlalamikaji mwenyewe akiridhia
Ikiwa ajaridhia kesi inaenda mbele kama angeridhia kesi isingeenda mbele kama hvyo anavyotaka MLALAMIKAJI
Ila JINAI ingekuwa IPO vilevile JINAI haifi Wala haifutiki ikiwa haijatolewa HUKUMU na mshtakiwa akaitumikia
Hvyo labda kama una matatizo BINAFSI namkuu wa mkoa wa MWANZA ila kwa ulivyoandika SIJAONA kosa lake
 
mm najiulizaga tu, binti wa miaka 21, unaombwa unakataa, kisha unaambiwa twende kwenye gari, unaenda kwa kujiachia kabisa, unaingia kwa gari (gari yenyewe crown) unalawitiwa upo tu hata kupiga kelele kuvunja hata kioo kuomba msaada hapana, unasikilizia tu, baada ya shughuli unaenda polisi kuripoti umelawitiwa, like seriously??!!
 
Ishara ya mapenzi...
 
Kwanini shauri lisipelekwe mahakamani shida inakuwa wapi na mbona tunaambiwa nguvu kubwa inatumiwa na rc wa Mwanza kuzima sakata hili kwa maana nyingine sheria zinafanya kazi kwa wanyonge tu waliopo madarakani haziwagusi
 
True but sidhani kama Binti ni Chizi. Tufike mahali tuwe na utu. Angekuwa mtu wa kawaida saa hz anaongelea Segerea. Binadamu wote siyo sawa mbele ya Sheria au?
Huyo binti alikuwa na kiherehere. Kweli kaacha kusoma kaende kudanga ndani ya gari. Yawezekana ilitereza ikaingia mtaa wa pili shughuli ikaendelea. Hao walikubaliana. Binti katumika huyo
 
Unajua kwa kawaida wanasema mlawiti nae kuna muda analawitia ushapata majibu nadhani sitaki kumalizia mana Katavi mbali saanaa🤣🤣
 
Unataka UCHUNGUZ Gani ufanyike na alishapelekwa hospital na akatibiwa na akaandikiwa dawa?? Polisi walimpeleka hospital... Report ya doctor unasemaje?? CCTV footages je?
 
Mkuu wa mkoa wa mwanza SAID MTANDA amesema amevumilia vya kutosha kuhusu tuhuma zinazosemwa na binti aliyelawitiwa TUMSIME kwamba yeye alihusika kutaka kesi hiyo ifutwe ?ameenda mbali kwa kusema yeye anaviachia kazi vyombo vya uchunguzi vifanye kazi kuona kama yeye amehusika na sakata Hilo , cha kujiuliza NI kwamba yeye NI mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na USALAAMA mkoa sasa vyombo vinawezaje kufanya kazi akiwa yeye yupo ofisini na NI mwenyekiti wa vyombo hivyo ? Hivi MTANDA anaona watanzania wa sasa hawana Uelewa hadi anatamka maneno hayo kwenye media ! Hata raisi anamshangaa yeye kuongea maneno hayo
 
Mbali na upuuzi huo, Bwana Mtanda ni kiongozi mzuri sana na anajiamini nami namuamini sana. Ila ndo hayo ya kifo Cha nyani.....
 
Mbali na upuuzi huo, Bwana Mtanda ni kiongozi mzuri sana na anajiamini nami namuamini sana. Ila ndo hayo ya kifo Cha nyani.....
Uzuri gani, jambo dogo la kujua nini unapaswa kuongea hadharani limemshinda..watu wengine kichwani kuna takataka tu..mpangilio wa maneno yako unaonyesha unamsifia sabab ni muislam mwenzio..mna matatizo nyinyi!
 
Hili jambo linaenda kuamua aina ya viongozi tutakaowapigia kura serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
 
Kuwajibika ni kazi sana, wengi wamezoea kuwajibishwa tena wakati mwingine wakiajibishwa wanaenda kwenye midia kutafuta huruma ya watu.
 
Aisee...
Pole Sana kwake.

Binti kafunguka Sana yule. Hana ujanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…