Katika maelezo yake yote hakuna mahali kasema kuwa imetumika nguvu, au alisahau hilo?Hata kama ni malaya,lakini hakubaliani na kitendo cha kulawitiwa,yeye kasema anapenda mbele tu,sasa RC ndiyo aka force kumla tigo kwa nguvu, na kulawiti ni kosa kisheria, hata Mzee Foxy akikulawiti na ukaenda ku report police bado nae tutamkamata ili afikishwe mahakamani kujibu mashitaka yake! Binti ana hoja asikilizwe!!
Shida siyo kuwa na vielelezo vingi, shida iko kwenye ushahidi unaokubaliwa na mahakama (admissible evidence). Unaweza ukawa na vielelezo vingi, lakini mbele ya sheria vinaweza vikawa havina uzito au viñaweza kuwa vinahitaji ushahidi mwingine wa kuvi'support' ambao haujatolewa/haupo.Hii kesi ya Tumsiime na Nawanda ina ushahidi na vielelezo vingi sana kuliko ya wanaodaiwa kuwa makahaba waliokamatwa na Hassan Bomboko wa Ubongo.
Kipi ni "admissible Evidence" katika kesi ya Hassan Bomboko wa Ubungo dhidi ya wanaodaiwa kuwa makahaba??Shida siyo kuwa na vielelezo vingi, shida Iko kwenye 'admissible evidence'. Unaweza ukawa na vielelezo vingi, lakini mbele ya sheria vinaweza vikawa havina uzito au viñaweza kuwa vinahitaji ushahidi mwingine wa kuvi'support' ambao haujatolewa. Ukisoma hukumu nyingi za mahakama ya rufaa utaona hilo likijitokeza mara kwa mara na ndiyo maana unaweza kukuta kesi ambayo tangu mwanzo ushahidi ulimwelemea mshtakiwa, anakuja kukombolewa na kukata rufaa mahakama ya rufaa. Hivyo, mambo ya sheria na uamuzi wa mahakama yanahitaji unyenyekevu sana. Kuna wakati nilishakwenda na jamaa mahakamani na alikuwa na uhakika mahakama ingekuwa upande wake na hakujiandaa kwenda na fedha za faini in case mambo yakibadilika maana aliamini angeshinda, lakini hukumu ikamgeukia na tulimwacha akiwa ndani maana ndiye aliyekuwa na hatia.
Bado haijawa jinai mpaka kuwe na kesi.Hakuna hekima kwenye jinai,sheria lazima ifuate mkondo wake na mwenye hatia lazima awajibike!! Usipende kuleta kesi zako za madai kwenye jinai!!
Kweli leo nimeaamini wanawake kweli hampendani! Ebu nenda kamsikilize binti kwa utulivu na utamuelewa mwanzo mwisho!!Katika maelezo yake yote hakuna mahali kasema kuwa imetumika nguvu, au alisahau hilo?
Kipi kati ya uchunguzi wa maabara, meseji za simu, voice notes, CCTV clips, uingiliaji wa RC Mtanda na miamala ya kifedha sio "admissible Evidence" katika kesi ya Ulawiti ya Nawanda na Tumsiime??Shida siyo kuwa na vielelezo vingi, shida iko kwenye ushahidi unaokubaliwa na mahakama (admissible evidence). Unaweza ukawa na vielelezo vingi, lakini mbele ya sheria vinaweza vikawa havina uzito au viñaweza kuwa vinahitaji ushahidi mwingine wa kuvi'support' ambao haujatolewa/haupo. Ukisoma hukumu nyingi za mahakama ya rufaa utaona hilo likijitokeza mara kwa mara na ndiyo maana unaweza kukuta kesi ambayo tangu mwanzo ushahidi ulimwelemea mshtakiwa, anakuja kukombolewa na kukata rufaa mahakama ya rufaa. Hivyo, mambo ya sheria na uamuzi wa mahakama yanahitaji unyenyekevu sana. Kuna wakati nilishakwenda na jamaa mahakamani na alikuwa na uhakika mahakama ingekuwa upande wake na hakujiandaa kwenda na fedha za faini in case mambo yakibadilika maana aliamini angeshinda, lakini hukumu ikamgeukia na tulimwacha akiwa ndani maana ndiye aliyekuwa na hatia.
Hivyo vielelezo vikipelekwa mahakamani na mahakama ikavikubali vyote kama sehemu ya ushahidi, ndivyo vinavyokuwa 'admissible evidence'.Kipi ni "admissible Evidence" katika kesi ya Hassan Bomboko wa Ubungo dhidi ya wanaodaiwa kuwa makahaba??
Kesi ipelekwe mahakamani sasa, DPP na polisi wake wanasubiri nini??Hivyo vielelezo vikipelekwa mahakamani na mahakama ikavikubali vyote kama sehemu ya ushahidi, ndivyo vinavyokuwa 'admissible evidence'.
Kama ulishaisoma vizuri The Law of Evidence na case law kwenye haya mambo yote uliyoyasema ungeweza kuona point yangu vizuri.Kipi kati ya uchunguzi wa maabara, meseji za simu, voice notes, CCTV clips, uingiliaji wa RC Mtanda na miamala ya kifedha sio "admissible Evidence" katika kesi ya Ulawiti ya Nawanda na Tumsiime??
Nimemsikiliza, hakuna chankuoendana walamkutokupendana. Kuna haki tu.Kweli leo nimeaamini wanawake kweli hampendani! Ebu nenda kamsikilize binti kwa utulivu na utamuelewa mwanzo mwisho!!
Ndiyo maana nikasema labda hawajakamilisha nondo zao maana ndio inabidi wathibitishe bila kuacha mashaka yoyote kwamba huyo binti kalawitiwa na huyo mkuu.Kesi ipelekwe mahakamani sasa, DPP na polisi wake wanasubiri nini??
RC kufunga milango ya gari lake ni kushawishi? au uislamu ni halali kulawiti, maana aliyetenda na mtetezi wake ni waislamu na wanatumia madaraka kulinda ulawiti, pamoja na wewe!Katika maelezo yake yote hakuna mahali kasema kuwa imetumika nguvu, au alisahau hilo?
Kesi ipelekwe mahakamani sasa, DPP na polisi wake wanasubiri nini??
Wewe na imani yenu mna matatizo makubwa!Nimemsikiliza, hakuna chankuoendana walamkutokupendana. Kuna haki tu.
Hao wote ni wazinifu na hukumu yao, waoane wazinifu kwa wazinifu.
Hakuna mwenye afadhali hapo.
Wewe hujawahi kupanda gari nini? Gari lipi linalofungwa milango likashindwa kufunguka kwa ndani?RC kufunga milango ya gari lake ni kushawishi? au uislamu ni halali kulawiti, maana aliyetenda na mtetezi wake ni waislamu na wanatumia madaraka kulinda ulawiti, pamoja na wewe!
Kuna kesi zimeamliwa na mahakama ya rufaa, kosa lilionekana limetendeka, lakini shida ikaja ni nani aliyetenda (pamoja na hivyo vielelezo vyote)? Mfano, nani alishuhudia kosa hilo' likitendeka? Hapa najaribu tu kuonyesha maswali mahakama iliyojiukiza kwa baadhi ya kesi nilizozisoma.Kesi ipelekwe mahakamani sasa, DPP na polisi wake wanasubiri nini??
Umeshindwa hoja unarukia "imani"?Wewe na imani yenu mna matatizo makubwa!