RC Said Mtanda wa Mwanza hastahili kuwa kiongozi wa umma kwa kutaka kuzima kesi ya Binti Tumsiime anayedai kulawitiwa na Dkt. Nawanda

RC Said Mtanda wa Mwanza hastahili kuwa kiongozi wa umma kwa kutaka kuzima kesi ya Binti Tumsiime anayedai kulawitiwa na Dkt. Nawanda

Hata kama ni malaya,lakini hakubaliani na kitendo cha kulawitiwa,yeye kasema anapenda mbele tu,sasa RC ndiyo aka force kumla tigo kwa nguvu, na kulawiti ni kosa kisheria, hata Mzee Foxy akikulawiti na ukaenda ku report police bado nae tutamkamata ili afikishwe mahakamani kujibu mashitaka yake! Binti ana hoja asikilizwe!!
Katika maelezo yake yote hakuna mahali kasema kuwa imetumika nguvu, au alisahau hilo?
 
Hii kesi ya Tumsiime na Nawanda ina ushahidi na vielelezo vingi sana kuliko ya wanaodaiwa kuwa makahaba waliokamatwa na Hassan Bomboko wa Ubongo.
Shida siyo kuwa na vielelezo vingi, shida iko kwenye ushahidi unaokubaliwa na mahakama (admissible evidence). Unaweza ukawa na vielelezo vingi, lakini mbele ya sheria vinaweza vikawa havina uzito au viñaweza kuwa vinahitaji ushahidi mwingine wa kuvi'support' ambao haujatolewa/haupo.

Ukisoma hukumu nyingi za mahakama ya rufaa utaona hilo likijitokeza mara kwa mara na ndiyo maana unaweza kukuta kesi ambayo tangu mwanzo ushahidi ulimwelemea mshtakiwa, anakuja kukombolewa na kukata rufaa mahakama ya rufaa. Hivyo, mambo ya sheria na uamuzi wa mahakama yanahitaji unyenyekevu sana.

Kuna wakati nilishakwenda na jamaa mahakamani na alikuwa na uhakika mahakama ingekuwa upande wake na hakujiandaa kwenda na fedha za faini in case mambo yakibadilika maana aliamini angeshinda, lakini hukumu ikamgeukia na tulimwacha akiwa ndani maana ndiye aliyekuwa na hatia.
 
Shida siyo kuwa na vielelezo vingi, shida Iko kwenye 'admissible evidence'. Unaweza ukawa na vielelezo vingi, lakini mbele ya sheria vinaweza vikawa havina uzito au viñaweza kuwa vinahitaji ushahidi mwingine wa kuvi'support' ambao haujatolewa. Ukisoma hukumu nyingi za mahakama ya rufaa utaona hilo likijitokeza mara kwa mara na ndiyo maana unaweza kukuta kesi ambayo tangu mwanzo ushahidi ulimwelemea mshtakiwa, anakuja kukombolewa na kukata rufaa mahakama ya rufaa. Hivyo, mambo ya sheria na uamuzi wa mahakama yanahitaji unyenyekevu sana. Kuna wakati nilishakwenda na jamaa mahakamani na alikuwa na uhakika mahakama ingekuwa upande wake na hakujiandaa kwenda na fedha za faini in case mambo yakibadilika maana aliamini angeshinda, lakini hukumu ikamgeukia na tulimwacha akiwa ndani maana ndiye aliyekuwa na hatia.
Kipi ni "admissible Evidence" katika kesi ya Hassan Bomboko wa Ubungo dhidi ya wanaodaiwa kuwa makahaba??
 
Shida siyo kuwa na vielelezo vingi, shida iko kwenye ushahidi unaokubaliwa na mahakama (admissible evidence). Unaweza ukawa na vielelezo vingi, lakini mbele ya sheria vinaweza vikawa havina uzito au viñaweza kuwa vinahitaji ushahidi mwingine wa kuvi'support' ambao haujatolewa/haupo. Ukisoma hukumu nyingi za mahakama ya rufaa utaona hilo likijitokeza mara kwa mara na ndiyo maana unaweza kukuta kesi ambayo tangu mwanzo ushahidi ulimwelemea mshtakiwa, anakuja kukombolewa na kukata rufaa mahakama ya rufaa. Hivyo, mambo ya sheria na uamuzi wa mahakama yanahitaji unyenyekevu sana. Kuna wakati nilishakwenda na jamaa mahakamani na alikuwa na uhakika mahakama ingekuwa upande wake na hakujiandaa kwenda na fedha za faini in case mambo yakibadilika maana aliamini angeshinda, lakini hukumu ikamgeukia na tulimwacha akiwa ndani maana ndiye aliyekuwa na hatia.
Kipi kati ya uchunguzi wa maabara, meseji za simu, voice notes, CCTV clips, uingiliaji wa RC Mtanda na miamala ya kifedha sio "admissible Evidence" katika kesi ya Ulawiti ya Nawanda na Tumsiime??
 
Kipi ni "admissible Evidence" katika kesi ya Hassan Bomboko wa Ubungo dhidi ya wanaodaiwa kuwa makahaba??
Hivyo vielelezo vikipelekwa mahakamani na mahakama ikavikubali vyote kama sehemu ya ushahidi, ndivyo vinavyokuwa 'admissible evidence'.
 
Hivyo vielelezo vikipelekwa mahakamani na mahakama ikavikubali vyote kama sehemu ya ushahidi, ndivyo vinavyokuwa 'admissible evidence'.
Kesi ipelekwe mahakamani sasa, DPP na polisi wake wanasubiri nini??
 
Kipi kati ya uchunguzi wa maabara, meseji za simu, voice notes, CCTV clips, uingiliaji wa RC Mtanda na miamala ya kifedha sio "admissible Evidence" katika kesi ya Ulawiti ya Nawanda na Tumsiime??
Kama ulishaisoma vizuri The Law of Evidence na case law kwenye haya mambo yote uliyoyasema ungeweza kuona point yangu vizuri.
 
Katika maelezo yake yote hakuna mahali kasema kuwa imetumika nguvu, au alisahau hilo?
RC kufunga milango ya gari lake ni kushawishi? au uislamu ni halali kulawiti, maana aliyetenda na mtetezi wake ni waislamu na wanatumia madaraka kulinda ulawiti, pamoja na wewe!
 
RC kufunga milango ya gari lake ni kushawishi? au uislamu ni halali kulawiti, maana aliyetenda na mtetezi wake ni waislamu na wanatumia madaraka kulinda ulawiti, pamoja na wewe!
Wewe hujawahi kupanda gari nini? Gari lipi linalofungwa milango likashindwa kufunguka kwa ndani?
 
Kesi ipelekwe mahakamani sasa, DPP na polisi wake wanasubiri nini??
Kuna kesi zimeamliwa na mahakama ya rufaa, kosa lilionekana limetendeka, lakini shida ikaja ni nani aliyetenda (pamoja na hivyo vielelezo vyote)? Mfano, nani alishuhudia kosa hilo' likitendeka? Hapa najaribu tu kuonyesha maswali mahakama iliyojiukiza kwa baadhi ya kesi nilizozisoma.
 
Huyu Binti mpaka anafanya media tour hivi basi kuna kitu kinatafutwa nyuma yake.

Mana kitendo cha aibu kama hicho mtu huwezi kutoka hadharani na kuongea ulichofanyiwa tena na radio changa kama hiyo crown

Kuna kitu nyuma yake .Amini kwamba
 
Watoto wa mjini ndio wanateuliwa awamu hii.

Si umesikia vile kamishna mpya wa TRA alivyokuwa anasifiwa kuwa ni mtoto wa mjini?
 
Back
Top Bottom