Yale mazingira, public parking, obviously ni ubakaji! Kwa Hali ya kawaida, msomi wa kiwango cha PhD, kiongozi mkubwa wa serikali hawezi kufanya mapenzi katika mazingira yale zaidi ya ubakaji unless utimamu wake una walakini. And why wanafanya kila juhudi kujaribu kuizima hii kesi? Si aende mahakamani akasafishwe?Wewe ulisikia kabakwa?
Huyo binti ni muongo, atalawitiwa bila kupenda bila kubakwa?
Wewe ushalawitiwa bila kupenda?
Ulawiti/ufiraji ni mambo yale yale ya LBGTQ. Na yapo sana Bongo japo tunayakana kwa nguvu.Hivi ulawiti si ndiyo tabia za kishoga hizo? Mbona hawa wateule wa rais Samia wanaonekana ndiyo wenye kufanya na kutetea vitendo hivyo?
Hii nchi ina unafiki mwingi sana. Rais achukue hatua kwa viongozi wa namna hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vigogo lazima wateteanee, na wako wengi hataree.Ngoja tuone mwisho wake
UNAFIKIIIUlawiti/ufiraji ni mambo yale yale ya LBGTQ. Na yapo sana Bongo japo tunayakana kwa nguvu.
Umeongea fumbo kubwa sana. Mwenye akili ya kuelewa na aelewe!Samaki huoza kuanzia kichwani.
Kuwa wapenzi siyo kigezo Cha kufirana ama kubakana.Sema hii issue iko complicated ukizingatia anadai “walikuwa wapenzi” kwa miezi sita.
Ushahidi wa kesi hizi na za aina hii ni zaidi ya hapo Mkuu.Kama wanaodaiwa ni makahaba na Hassan Bomboko wameweza kufikishwa mahakamani kwa haraka sana bila hata kuwa na wateja wao kipi kinashindikana kumfikisha Nawanda mahakamani wakati Tumsiime anayelalamika kulawitiwa yuko tayari kutoa ushahidi wake mahakamani na hadi kuna ushahidi wa miamala ya simu, benki na ushahidi wa meseji na sauti za simu??
Kwa hiyo Rais alimtengua Bw. RC kwa tuhuma?mtu hahukumiwi kwa tuhuma bro
Kufungiwa milango ya gari na kuambiwa kuna walinzi wake nje tayar kuna threats ambayo it amount to kutumia nguvu....na kosa la kuzama uani ni kosa hata liwe na consent ya victimKatika maelezo yake yote hakuna mahali kasema kuwa imetumika nguvu, au alisahau hilo?
Kama wanaodaiwa ni makahaba na Hassan Bomboko wameweza kufikishwa mahakamani kwa haraka sana bila hata kuwa na wateja wao kipi kinashindikana kumfikisha Nawanda mahakamani wakati Tumsiime anayelalamika kulawitiwa yuko tayari kutoa ushahidi wake mahakamani na hadi kuna ushahidi wa miamala ya simu, benki na ushahidi wa meseji na sauti za simu?
Ipo hoja ya msingi hapaMkuu jmushi1 hakuna u-complicated wowote. Kwa wapenzi siyo certificate ya kutofamfanyia ubaya. Binti kaelezea vizuri na kakubali walikuwa wapenzi. Kasema lengo la jamaa tangu wakutane ni kumwingilia nyuma lakini binti akakataa. Akasema alimwita ili aombe msamaha na kama ni mapenzi wafanye kwa njia ya kawaida. Kufika pale akatumia nguvu na vitisho kumlawiti. Kwa nini kesi isipelekwe mahakamani ili sheria ipime maelezo yao? Kwa nini RC wa Mwanza aingilie kutaka kesi isiende mahakamani? Kwa nini huyo RC alimpa sh milioni kumi kama hana anachoogopa? Kuna watu wanadai ni ksei ya kisiasa, je hao wanasiasa wasiompenda huyo RC ndiyo walimtuma afanye yote hayo? Ukweli ni kwamba inawezekana kabisa ni kweli na huu ndiyo mchezo wa wengi ya hawa wahuni wa CCM.
Kufungiwa milango ya gari na kuambiwa kuna walinzi wake nje tayar kuna threats ambayo it amount to kutumia nguvu....na kosa la kuzama uani ni kosa hata liwe na consent ya victim
Hakika hata kula tu kawaida, mwanamke akikaza huli.....Tena huyo ni intellectual, nasikia harufu ya kukomoana na kisasi hapo.Mimi nauliza tu...yaani hiyo binti alienda kufanya nini hotelini pamoja na huyo RC?
Kwahiyo kama "angembwato" tu asingekuja kuutangazia umati kuwa katoa mbususu kwa RC kwa ridhaa yake ?
Kula jicho sio jambo jepesi kama mwanamke akikukazia huwezi kuingiza hata kichwa tu katika "Mnduku" wake! Vp huyo binti alitulia tu kuanzia kupakwa vilainishi "Parachute,KLY gel,Durex n.k" mpaka kichwa kinaingia na mkia wake na jamaa anapiga tako zake mpaka anamwagia!
Alishindwa kweli kupiga kelele za kuomba msaada?
Angesema kuwa amewekewa drugs kwenye kinywaji,amepigwa na kufungwa mikono na mdomo au kashikiwa bunduki ndio atoe jicho hapo angeeleweka vizuri. Kinyume na hapo kuna mashaka mengi aisee
Mkuu kwasababu una idea na wizi wa Bashe basi tukutake uandike.Yaan unamtaka RC Mwanza atoke, lakin hukuandika uzi kuhusu msomali mwizi mkubwa wa, mabilioni Bashe:Au mwizi mkubwa Mwigulu, au mwizi mkubwa Kipara Makamba.
Achana na hao MaRC hawana effect kwenye uchumi. Mapenz ni nn? Mbona kuna wanawake wanajiuza wazuri tu na wengi.Sasa huyo binti malaya mjinga wa ahead ndio atusababishe watu waache kazi zao, wakati kuna wezi wakubwa wanaoiba pesa za serikali na kufanya watu wawe masikini.
Sawa sawa kbs!Mkuu jmushi1 hakuna u-complicated wowote. Kwa wapenzi siyo certificate ya kutofamfanyia ubaya. Binti kaelezea vizuri na kakubali walikuwa wapenzi. Kasema lengo la jamaa tangu wakutane ni kumwingilia nyuma lakini binti akakataa. Akasema alimwita ili aombe msamaha na kama ni mapenzi wafanye kwa njia ya kawaida. Kufika pale akatumia nguvu na vitisho kumlawiti. Kwa nini kesi isipelekwe mahakamani ili sheria ipime maelezo yao? Kwa nini RC wa Mwanza aingilie kutaka kesi isiende mahakamani? Kwa nini huyo RC alimpa sh milioni kumi kama hana anachoogopa? Kuna watu wanadai ni ksei ya kisiasa, je hao wanasiasa wasiompenda huyo RC ndiyo walimtuma afanye yote hayo? Ukweli ni kwamba inawezekana kabisa ni kweli na huu ndiyo mchezo wa wengi ya hawa wahuni wa CCM.
Ujinga huo, unaonewsha hujawahi kupanda gari. gari inayofungwa ikakataa kufunguka kwa ndani?Kufungiwa milango ya gari na kuambiwa kuna walinzi wake nje tayar kuna threats ambayo it amount to kutumia nguvu....na kosa la kuzama uani ni kosa hata liwe na consent ya victim
Huyo muongo tu, hana cha kulawitiwa wala kuliwa.Yale mazingira, public parking, obviously ni ubakaji! Kwa Hali ya kawaida, msomi wa kiwango cha PhD, kiongozi mkubwa wa serikali hawezi kufanya mapenzi katika mazingira yale zaidi ya ubakaji unless utimamu wake una walakini. And why wanafanya kila juhudi kujaribu kuizima hii kesi? Si aende mahakamani akasafishwe?
Michezoyaoo madeltachalii wengiiHivi ulawiti si ndiyo tabia za kishoga hizo? Mbona hawa wateule wa rais Samia wanaonekana ndiyo wenye kufanya na kutetea vitendo hivyo?
Hii nchi ina unafiki mwingi sana. Rais achukue hatua kwa viongozi wa namna hii