dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
Yale mazingira, public parking, obviously ni ubakaji! Kwa Hali ya kawaida, msomi wa kiwango cha PhD, kiongozi mkubwa wa serikali hawezi kufanya mapenzi katika mazingira yale zaidi ya ubakaji unless utimamu wake una walakini. And why wanafanya kila juhudi kujaribu kuizima hii kesi? Si aende mahakamani akasafishwe?Wewe ulisikia kabakwa?
Huyo binti ni muongo, atalawitiwa bila kupenda bila kubakwa?
Wewe ushalawitiwa bila kupenda?