RC Said Mtanda wa Mwanza hastahili kuwa kiongozi wa umma kwa kutaka kuzima kesi ya Binti Tumsiime anayedai kulawitiwa na Dkt. Nawanda

Ndiyo maana nikasema labda hawajakamilisha nondo zao maana ndio inabidi wathibitishe bila kuacha mashaka yoyote kwamba huyo binti kalawitiwa na huyo mkuu.
Mahabusu na Magereza zimejaa watu wengi ambao nondo zao za ushahidi hazijakamilika, kuna wato wengi wako gerezani zaidi hata ya miaka mitano huku ushahidi wao ukiwa haujakamilika lakini ni mwingi kuliko hata huu wa Nawanda,
Kwa nini kwa Nawanda iwe tofauti??
 
Hapa nasikiliza video ya Binti Tumsiime anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Nawanda. Binti ameelezea kwa kina sakata zima la kulawitiwa, mpaka msukumo mzima wa kutaka kuzima kesi.

Binti Tumsiime ameelezea kuwa baada ya kufanyiwa kitendo kile, aliripoti kituo cha polisi kwa hatua za kisheria zaidi. Wakati akiwa na Polisi wakifanya uchunguzi na kukusanya ushahidi, ghafla alitafutwa na RC Mtanda ambaye alitaka waonane ofisini kwake, binti anadai alikataa na kusema yupo na polisi lakini RC Mtanda alitumia mamlaka yake na hatimaye kuonana na binti huyo.

Binti anadai baada ya kufika Ofisini kwa Mtanda, RC huyo alimsihi suala hilo aliondoe polisi ili limalizwe kifamilia ila binti aliamua kukaza. Anadai kuwa akiwa ofisini RC Mtanda aliongea kilugha na Dkt. Nawanda (nadhani kimakonde).

RC Mtanda aliwaita Polisi waliokuja na binti huyo na kuwaambia ameshaongea na Binti na kesho wampokee vizuri anakuja kufuta kesi. Binti hakufanya hivyo kama alivyotakiwa kufanya na RC Mtanda.

Kwa mujibu wa binti huyo, RC Mtanda aliendelea kuinjinia mpango mzima wa kuzima sakata ikiwa ni pamoja na kushiriki kumwandikisha barua feki ya kufuta kesi, kumshawishi mama mzazi wa binti nk nk.

Hoja yangu hapa; RC Mtanda kama kiongozi wa umma alipaswa kuwa mstari wa mbele kuheshimu na kusimamia sheria, badala yake anatumia mamlaka ambayo tumempatia kutaka kudhulumu haki ya Tumsiime.

Rais Samia, Watanzania hatutakuelewa endapo RC Mtanda ataendelea kuwa Mkuu wa mkoa, amekosa sifa za kuwa mfano wa kuigwa.

Pia soma
Screenshot_20240706-090942.png

CCM haiwezi kumshinda MUNGU
 
Mahabusu na Magereza zimejaa watu wengi ambao nondo zao za ushahidi hazijakamilika, kuna wato wengi wako gerezani zaidi hata ya miaka mitano huku ushahidi wao ukiwa haujakamilika lakini ni mwingi kuliko hata huu wa Nawanda,
Kwa nini kwa Nawanda iwe tofauti??
Lakini huyu yeye yuko nje kwa dhamana kwa maelezo ya askari polisi jana (kama nilivyosoma kwenye Mwananchi online Jana baada ya binti kuwa ameenda kueleza aliyoeleza LHRC).
 
Hivi ulawiti si ndiyo tabia za kishoga hizo? Mbona hawa wateule wa rais Samia wanaonekana ndiyo wenye kufanya na kutetea vitendo hivyo?

Hii nchi ina unafiki mwingi sana. Rais achukue hatua kwa viongozi wa namna hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wabongo wanasema kwa mwanamke kuliwa kinyeo ni halali, ila wanaume ndo hapanaa.
Woiiiiih
 
Lakini huyu yeye yuko nje kwa dhamana kwa maelezo ya askari polisi jana (kama nilivyosoma kwenye Mwananchi online Jana baada ya binti kuwa ameenda kueleza aliyoeleza LHRC).
Kesi ya ulawiti haina dhamana
 
Hapa nasikiliza video ya Binti Tumsiime anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Nawanda. Binti ameelezea kwa kina sakata zima la kulawitiwa, mpaka msukumo mzima wa kutaka kuzima kesi.

Binti Tumsiime ameelezea kuwa baada ya kufanyiwa kitendo kile, aliripoti kituo cha polisi kwa hatua za kisheria zaidi. Wakati akiwa na Polisi wakifanya uchunguzi na kukusanya ushahidi, ghafla alitafutwa na RC Mtanda ambaye alitaka waonane ofisini kwake, binti anadai alikataa na kusema yupo na polisi lakini RC Mtanda alitumia mamlaka yake na hatimaye kuonana na binti huyo.

Binti anadai baada ya kufika Ofisini kwa Mtanda, RC huyo alimsihi suala hilo aliondoe polisi ili limalizwe kifamilia ila binti aliamua kukaza. Anadai kuwa akiwa ofisini RC Mtanda aliongea kilugha na Dkt. Nawanda (nadhani kimakonde).

RC Mtanda aliwaita Polisi waliokuja na binti huyo na kuwaambia ameshaongea na Binti na kesho wampokee vizuri anakuja kufuta kesi. Binti hakufanya hivyo kama alivyotakiwa kufanya na RC Mtanda.

Kwa mujibu wa binti huyo, RC Mtanda aliendelea kuinjinia mpango mzima wa kuzima sakata ikiwa ni pamoja na kushiriki kumwandikisha barua feki ya kufuta kesi, kumshawishi mama mzazi wa binti nk nk.

Hoja yangu hapa; RC Mtanda kama kiongozi wa umma alipaswa kuwa mstari wa mbele kuheshimu na kusimamia sheria, badala yake anatumia mamlaka ambayo tumempatia kutaka kudhulumu haki ya Tumsiime.

Rais Samia, Watanzania hatutakuelewa endapo RC Mtanda ataendelea kuwa Mkuu wa mkoa, amekosa sifa za kuwa mfano wa kuigwa.

Pia soma
Imfikie Rais Samia Ili amtumbue, washenzi wa hivi hawatakiwi kabisa kwenye Utumishi wa Umma.
 
Upo sahihi lakini hebu jaribu kugeuza upande wa pili. What if unhekuwa ni wewe umefanya hivyo au ndugu yako halafu kiongozi anajaribu kuku fightia kama hivyo, ungeandika huu uzi? Au undelete uzi wa kumsifia? Au kwa sababu tatizo halijakukuta wewe? Kela sio pazuri ndugu yangu kumbuka
Unatakaa kumaanisha nn hapaa? Mbona km hujaelewekaa vilee?
 
Umewahi kula, kuliwa, kujaribu kula au kuliwa jicho ukaupata huo uzoefu ??
Sasa hapa si ndio hii kesi ingepelekwa mahakamani ili wataalamu mbalimbali waliojaribu kula au kuliwa jicho waileze mahakama ugumu wake ili kumnasua Nawanda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Achana upenzi, hujawahi kusikia kesi ya mtu kumlawiti mkewe wa ndoa?
Hebu nisaidie...
Inawezekana nimepitwa na maeezo ya awali ya huyu binti. Nilisikia kwamba amelawitiwa akiwa club. Je alizibwa mdomo? Hakuweza hata kujinasua?
Maswali ni mengi
 
Hii case kwa kuitazama tyuuh unajua wazi, kuna misunderstanding baina ya wahusika, kuna makubaliano yalikiukwa. Ndo huyo binti kaamua kumchoma RC wa watu. Lol.
 
Huyu Binti mpaka anafanya media tour hivi basi kuna kitu kinatafutwa nyuma yake.

Mana kitendo cha aibu kama hicho mtu huwezi kutoka hadharani na kuongea ulichofanyiwa tena na radio changa kama hiyo crown

Kuna kitu nyuma yake .Amini kwamba
Hata mimi nilijiuliza hivyo, kwamba hiyo courage inatoka wapi? Anyway, kama ni kweli alifanyiwa hivyo na ana hiyo courage, basi nampongeza maana si wengi wanaweza kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom