#COVID19 RC Sengati: Kiongozi wa CHADEMA aliyesema Shinyanga imeelemewa na wagonjwa wa corona achukuliwe hatua kali za kisheria

Wakiwa wagonjwa wawili au zaidi tayari ni wengi!
Huyo RC anatamka kiongozi akamatwe kwa kosa gani? Huyu ni mjinga na mpumbavu kama marehemu dikteta pombe, aliidharau corona ikapita nae
 
Hawa vijana wa Bavicha huwa hawatumii akili kabisa wanapofanya jambo!

Kwa mfano hilo litawainua vipi wao kama bavicha?
 
Mbona aliyedai wagonjwa wako wengi hakuulizwa maswali?
 
Ujinga wake ni kufuatilia huo uzushi ilitakiwa aupotezee tu maana huwezi kufuatilia kila linalozushwa, huku kuzusha uwepo wa wagonjwa wengi wa corona hazijaanza leo.
 
Kwani kivumishi cha wengi sana kinaanza na wagonjwa wangapi vile!
 
Wapeleke mitungi iliozidi Bugando wao walikua wazi wakasema wanashortage ya mitungi 500
 
Rais wetu anaona hizi sarakasi zinazoendelea anapingana na kampeni za kuzuia Corona. Mheshimiwa anjua nini cha kufanya ni pamoja na kufukuza hawa wakuu wa mikoa wanaoishi enzi zileeee za....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…