RC Shigella: Hakuna mahindi yaliyozuiwa kuingia Kenya kupitia mpaka wa Horohoro, Jana na leo tumevusha tani 570

RC Shigella: Hakuna mahindi yaliyozuiwa kuingia Kenya kupitia mpaka wa Horohoro, Jana na leo tumevusha tani 570

Na ile barua iliyoandikwa na mamlaka za Kenya kukataa bidhaa kutoka Uganda na Tz anaizungumziaje
 
Hiyo Sumu mbona sisi tunaila kila siku tena tunazidi kunawiri
Aflatoxin hata huko Kenya wanaila kila siku iendayo kwa Mungu
Nenda ocean road hospital kaone matokeo yake
 
Sasa unapotosha maksudi; la sivyo ni ujinga ulionao kuhusu utendaji na maamuzi ya serikali ya Kenya kuhusu jambo kama hili.
Sasa mbona Namanga wamezuia na Holoholo wanaruhusu?

Tuanzie hapo
 
Sasa mbona Namanga wamezuia na Holoholo wanaruhusu?

Tuanzie hapo
Hakuna serikali ya "county" yoyote yenye madaraka ya kuruhusu au kuzuia jambo kama hilo.

Huyo wakala aliyechukua uamzi huo hawajibiki kwa serikali yoyote ya 'county'.

Unataka nikueleze kwa nini Namanga, lakini Holoholo hapana?

'Ineptediness' ya utendaji kazi wa hao wanaozuia.

Hata barua yenyewe ilivyo utaona kuwa ni ya kishambashamba tu, isiyokuwa na uzito husika.

Siyo ajabu jamaa wa Holoholo wao hawakuwa na taarifa kabisa kwamba kuna zuio la namna hiyo wanalotakiwa kulitekeleza.
 
Basi tukiona mahindi yamekua mengi tuongeze kufuga panya watusaidie maana wenzetu wangoni tutakua tumewanufaisha pia sio lazima wakenya tuu.
 

Attachments

  • Screenshot_20201201-204043.jpg
    Screenshot_20201201-204043.jpg
    53.5 KB · Views: 1
Hiki kibabu shigela siyo cha 9 kukiamini sana
Mbona Mzalendo BASHE kajieleza kiufundi sana - alionekana wazi wazi anaongea akiwa na facts and figures na sio kukurupuka - kwa ushahidi wa Bashe hapo Wakenya hawachomoki,kawashika pabaya mpaka wataona aibu kama kweli wana huluka ya kuona aibu.

Kisanga kizima kinaonyesha walikuwa determined kutufanyia hujuma za kichini chini by manufacturing lame excuse eg: leo watasema madreva wa Watanzania hawaruhusiwi kuingia Kenye kutokana na ugonjwa wa CORONA as if Kenya ugonjwa huo haupo (actually wao hivi sasa wanao mpaka new variant ya COVID !! Kesho utawasikia wakitangazia Dunia kwamba mahindi ya Tanzania yana sumu (lengo lao ni kutaka kutuharibia biashara ya kuuza mahindi:UNHCR,Malawi, Zimbabwe, Zambia, CongoDRC, Sudan Kusini na Msumbiji - Wakenya wana akili za kichawi, wako overly obsessed na Tanzania sijui kwa nini? Huwezi kuwasikia wakiwasakama/sema vibaya Waganda, Wanyarwanda,Waburundi au Sudan Kusini - akili zao zote ziko kuisema vibaya Tanzania, hawatutakii mema hata kidogo kazi zao ni kutuharibia sifa kimataifa.)

Tukija kwa RC Shigella, binafsi naona alicho kifanya sio fresh hata kidogo, hakuwa hata na courtesy ya kuwasiliana na Mh. Bashe kwanza ili wawe na msimamo wa pamoja, wazungumze kwenye lugha moja na kuonyesha kwamba Viongozi walio teuliwa na JPM wana run Govt in sync sio kila mmoja anazungumza la kwake kwenye issue moja, binafsi kauli za Shigella kuhusu hii issue ya Mahindi yaliyo kuwa yanasafirishwa kwenda Kenya sikuipenda kusema kweli - hapakuwepo na ulazima wa kujingiza kwenye uncalled for publicity STUNT na contetion za kitoto - suala hili ilipashwa kumwachia Mzalendo Bashe ndiye awe msemaji wa Serikali and not otherwise.
 
Hivi kwa haya matamko yenu ya Waziri na huyo Rc bado unahoji kwanini mnachukuliwa mazoba? Wajua swali lako linaonyesha kuwa wew uko hivyo pia?
Wewe ni mjinga, Hilo ndio jina zuri unastahili.
Waziri ameenda mpaka wa namanga na kukuta mahindi yamezuiwa.
Mkuu wa mkoa wa Tanga ameenda mpaka wa horohoro amekuta mahindi yanaruhusiwa kuingia. Hapo tatizo liko wapi?
 
Serikali ya CCM ni kama imechanganyikiwa, waziri amasema hili RC anakuja na lake.

Huku rais anasema korona hakuna ma waziri amasema lake.

Yani serikali imechanganyikiwa yote!
Hawa jamaa ni kama dagaa kwenye chungu kila mmoja na lake wakati chungu kina chemka
 
Tupiamo na tupicha picha basi tujionee na sisi.
 
Naibu waziri kwanza amekiri kuwepo na ilo katazo la kupeleka mahindi Kenya.

Lakini pili kasema hawajapata official communication kutoka Kenya/paper work.

akini tatu amedai ya kwamba migogoro kama hii inapaswa kupitia kamati husika za Jumuia ya Africa Mashariki
Halafu Shigelah yeye anasemaje
 
Wewe ni mjinga, Hilo ndio jina zuri unastahili.
Waziri ameenda mpaka wa namanga na kukuta mahindi yamezuiwa.
Mkuu wa mkoa wa Tanga ameenda mpaka wa horohoro amekuta mahindi yanaruhusiwa kuingia. Hapo tatizo liko wapi?
Kama huoni tatizo basi wewe ndiye tatizo.
 
Serikali ya CCM ni kama imechanganyikiwa, waziri amasema hili RC anakuja na lake.

Huku rais anasema korona hakuna ma waziri amasema lake.

Yani serikali imechanganyikiwa yote!

Horohoro na Namanga ni mipaka ya nchi tofauti? Wakenya wanaweza kuishi bila kula ugali?
 
Back
Top Bottom