Mwanahabari Huria
JF-Expert Member
- Jan 29, 2025
- 406
- 308
hapa Kahama mjini kila kona barabara inajengwa hongera Rais Samiaasante Samia
inajengwa mpya msikilize RCWakati huo kahama wana stendi ya mabasi kama zizi la ng'ombe
HAPPY NANENANE
Hongera sana Mama SamiaView attachment 3429485
Miradi ya kimkakati inajumuisha: Ujenzi wa Mradi wa Umeme Jua Ngunga (MW 150) kwa shilingi bilioni 323, ukarabati wa Kiwanja cha Ndege Ibadakuli (km 2.2) na jengo la abiria – bilioni 52.87; barabara ya lami Kahama– Bulyanhulu JCT–Kakola (km 73) – bilioni 100.6; Shule ya Amali Nyamilangano – bilioni 1.6; mradi wa maji Ziwa Victoria (Kahama–Ushetu) – bilioni 37.51; TACTIC Kahama – barabara (km 12.03), viwanda Zongomela
(km 3.06), mifereji (km 4.9), kituo cha mabasi Mbulu, masoko – bilioni 48.3, TACTIC Shinyanga – kituo cha mabasi Kizumbi, barabara Nguzo Nane– Mwawaza (km 4.68), Swernatone–Ndala (km 1.67), na soko la Matunda Kambarage – bilioni 24.3. Jumla ya fedha kwa miradi yote ni shilingi bilioni 588.18, Rais Samia apeleka TZS588.2bn Shinyanga kwaajili ya miradi ya kimkakati ya barabara.
Mama hakamatikiHongera sana Mama Samia
Bodaboda wa shinyanga wamechangia CCM mkuu, wewe vipi tayari?Shinyanga hiihii tunayoishi sisi ? barabara za kwenda wilayani ni mavumbi ukifika unakoenda lazims ubadilishe nguo
Rais Samia ameibuka kuwa kiongozi shupavu, mwenye dira na maono makubwa kwa taifa letu; ndani ya kipindi kifupi cha uongozi wake ameandika historia mpya kwa kusimamia mageuzi ya kiuchumi, kijamii na kisiasa kwa hekima na busara, huku akilinda amani na mshikamano wa kitaifa; chini ya uongozi wake, Tanzania imeshuhudia kasi ya maendeleo katika miundombinu mikubwa, upatikanaji wa huduma bora za afya na elimu, upanuzi wa miradi ya maji na umeme, ukuaji wa diplomasia ya uchumi na ongezeko la fursa kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu; kwa hakika, Rais Samia ni kielelezo cha ujasiri, mfano wa uongozi wa kidemokrasia na taa ya matumaini inayoliinua taifa kuelekea uchumi wa kisasa na maendeleo jumuishi.View attachment 3429485
==
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe Mboni Mhita akiongea mbele ya waandishi wa habari alisema , Rais Samia anatekeleza Miradi mbalimbali ya kimkakati inayojumuisha, Ujenzi wa Mradi wa Umeme Jua Ngunga (MW 150) kwa shilingi bilioni 323, ukarabati wa Kiwanja cha Ndege Ibadakuli (km 2.2) na jengo la abiria – bilioni 52.87.
Barabara ya lami Kahama– Bulyanhulu JCT–Kakola (km 73) – bilioni 100.6; Shule ya Amali Nyamilangano – bilioni 1.6; mradi wa maji Ziwa Victoria (Kahama–Ushetu) – bilioni 37.51, TACTIC Kahama – barabara (km 12.03), viwanda Zongomela (km 3.06), mifereji (km 4.9), kituo cha mabasi Mbulu, masoko – bilioni 48.3, TACTIC Shinyanga – kituo cha mabasi Kizumbi, barabara Nguzo Nane– Mwawaza (km 4.68), Swernatone–Ndala (km 1.67), na soko la Matunda Kambarage – bilioni 24.3. Jumla ya fedha kwa miradi yote ni shilingi bilioni 588.18, Rais Samia apeleka TZS588.2bn Shinyanga kwaajili ya miradi ya kimkakati ya barabara.
kuelekea Geita hiyoSijui Kona gani siijui shy? Kwani Kuna shinyanga ngapi? Kama ni hii moja, barabara za lami kila Kona ni uongo. Huu ni utapeli
View attachment 3429485
==
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe Mboni Mhita akiongea mbele ya waandishi wa habari alisema , Rais Samia anatekeleza Miradi mbalimbali ya kimkakati inayojumuisha, Ujenzi wa Mradi wa Umeme Jua Ngunga (MW 150) kwa shilingi bilioni 323, ukarabati wa Kiwanja cha Ndege Ibadakuli (km 2.2) na jengo la abiria – bilioni 52.87.
Barabara ya lami Kahama– Bulyanhulu JCT–Kakola (km 73) – bilioni 100.6; Shule ya Amali Nyamilangano – bilioni 1.6; mradi wa maji Ziwa Victoria (Kahama–Ushetu) – bilioni 37.51, TACTIC Kahama – barabara (km 12.03), viwanda Zongomela (km 3.06), mifereji (km 4.9), kituo cha mabasi Mbulu, masoko – bilioni 48.3, TACTIC Shinyanga – kituo cha mabasi Kizumbi, barabara Nguzo Nane– Mwawaza (km 4.68), Swernatone–Ndala (km 1.67), na soko la Matunda Kambarage – bilioni 24.3. Jumla ya fedha kwa miradi yote ni shilingi bilioni 588.18, Rais Samia apeleka TZS588.2bn Shinyanga kwaajili ya miradi ya kimkakati ya barabara.
SafiView attachment 3429485