Mkalukungone mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 862 Reaction score 1,755 Mar 7, 2025 #1 Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Kenani Kihongosi amepamba kwa kuchanaaa mistari, Ni usiku wa mkesha kuelekea sikubya wanawake Duniani Kitaifa inafanyikia Arusha ambapo mkuu wa mkoa wa Arusha Makonda ameandaa nyama kwa wakazi buree. Your browser is not able to display this video.
Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Kenani Kihongosi amepamba kwa kuchanaaa mistari, Ni usiku wa mkesha kuelekea sikubya wanawake Duniani Kitaifa inafanyikia Arusha ambapo mkuu wa mkoa wa Arusha Makonda ameandaa nyama kwa wakazi buree. Your browser is not able to display this video.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Mar 7, 2025 #2 Sawa sawa
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 Mar 7, 2025 #3 Pesa ya nyama ni mfuko wake au wa mkoa?