GE2025 RC Simon Sirro: Tumejipanga vizuri Oktoba 29 wananchi watapiga kura kwa usalama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma IGP (Mst) Balozi Simon Sirro ameongoza mazoezi ya pamoja yaliyohusisha vyombo vya Ulinzi na Usalama mkoani humo na kusisitiza kuwa lengo ni kuonesha kuwa vyombo hivyo vipo imara kutekeleza majukumu yao na wananchi waendelee kutekeleza shughuli zao za Maendeleo kwa Amani na Utulivu.

Akizungumza mara baada ya mazoezi hayo, Balozi Sirro amesema hali ya Usalama mkoani humo ipo Shwari pia vyombo vya Ulinzi na Usalama vimejipanga vizuri ili kuhakikisha Oktoba 29, 2025 wananchi wanashiriki zoezi la uchaguzi Mkuu kwa Amani na Usalma.

Amesema vyombo hivyo havitosita kuchukua hatua za kisheria dhidi ya yeyote atajayekengeuka na kuvunja Sheria, Taratibu na Kanuni za Nchi.
 
Mambo mengine ni ya aibu tu na fedheha. Unastaafu kama IGP (cheo cha juu kabisa ndani ya jeshi la polisi)! Unakula mafao! Unapewa Ubalozi!

Mara unatumbuliwa! Halafu unapewa cheo chenye hadhi ndogo kwako cha Ukuu wa Mkoa! Na bado unakubali! Ningekuwa mimi nisingekubali kudharauliwa.
 
Na sisi Wananchi tupo imara maana kupiga au kutopiga ni hiari ya Mtu
 
Back
Top Bottom