RC Singida: Serikali haitasita kumchukulia hatua mtu yeyote atakayehatarisha amani ya nchi

Ukitolewa jalalani kwa namna yoyote you are rubbish.
Sasa hyo CR is a rubbish.
 
Mama ametishwa na nyomi la Lissu Jana Singida Mjini, na hivi Mbunge anayetetea kiti chake anazomewa waziwazi...kazi ipo Singida, Fisiemu tumbo la kuhara

Ahsanteni Lissu na Nyalandu kwa kuipaisha Singida✌
 
Kipindi hiki mama utaivusha singida kupitia chadema.Jiandae kutumbuliwa muda wowote kuanzia sasa.
 
Mimi sijui tena ni nani aliivusha nchi hii kwenye janga la Corona. Tunaambiwa sasa ni maono ya JPM lakini JPM mwenyewe anasema ni Mungu!!

Ukweli ni huu, corona sio hatari kwa afrika na Tanzania haiko tofauti na mataifa mengine ya afrika!! Hali ya africa si nzuri kwa kidudu cha korona, kama mabara mengine. JPM alichukua risk ambayo imelipa! Je risk taking ndio kinachosifiwa au ni matokeo ya kuwa hatujaathirika?
 
Uvccm tulitegemea mda huu muwe mshafika kilimanjaro kukabiliana na moto, Sasa huo uzalendo pori wenu ni wa kuimba mapambio na kumsifu meko tu, linapokuja suala linalohitaji uzalendo mnajificha kama mnadaiwa kodi na faza house mzaramo [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…