RC sio msemaji wa Ikulu wala sio mkuu wa usalama wa Rais

Naomba niseme kama raia wa Tanzania nakijana ambaye natafuta ili familia yangu ile nakunywa nimeumia yalio mkuta Idrisa Sultan. Kijana ambaye aliweka picha yakichwa chake kwenye kiti cha rais aki wish tarehe yakuzaliwa mkuu yeye wangebadilishana akale cake pale ikulu. Baada yakuwepo cake nyingi zakumpongeza Rais siku yakuzaliwa kwake.

Kiukweli siku ilifana na kila mtu alifurahi. Jambo wengi mpaka sasa tunashangaa nakuumia ni hiyo siku kubadilika nakuwa siku vijana wengi waliofurah na wazehe waliona ghafla imekuwa uchungu nakumbukizi uwenda wengi hawato zisahau.

Kwanza niseme Kijana Idrisa anandoto kama walizo nazo vijana wengine naamini hata yeye ana wish anaweza kuwa Rais na wala hatuwez pingana naye maana tuna ushuhuda jinsi wana michezo na waigizaji mashuhuri wamekuwa marais wamataifa tena makubwa.
Mfano hivi majuzi tu kunaTaifa la Ulaya limepata Rais ambaye alikuwa ni mchekeshaji tena alikuwa akimuiga Rais alie ondoka ndio alikuwa akimfanyia utani leo yeye ndio Rais. Yes wala sio mbali nijiran na Russia. Taifa la Eyucrain rais wake ni mchekeshaji.

Nirud kwenye mada RC sio msemaji wa Ikulu wala sio mtu anaye fanya kazi yakufuwatilia at high level nani anasema nn juu ya Rais. Kipo kitengo kinafuwatilia tena kama Idrisa ile issue yake wangeona ina athari au inashusha kiti cha Rais kiroho safi wangemwambia afanye edit au aondoe picha kiroho safi wala isingekuwa big issue.

Mkuu wa Mkoa kupitia msemaji wa mkoa wake anaongelea mambo ya mkoa wake sio yanayo muhusu Rais. Wasemaji wa Rais ni mawaziri wake na wale walio ktk team ya mkuu wa taifa pale Ikulu.

Jambo linatuuma sote Watanzania nikuona kwa kipindi kirefu RC Wa DSm amekuwa akimsemea Rais mambo wanapaswa waseme watu waikulu na isitoshe ktk maswala ya uongoz na yanayo muhusu rais kuna kitu kinaitwa itifaki. Ndigu zangu itifaki nikama kusema utaratibu umezingatiwa. Je huyu mkuu wa mkoa wa darau yeyote anaye semea kiti je itifaki ya muenendo wapale ikulu imezingatiwa?

Je madaraka ya mkuu wa mkoa kikomo chake ni wapi maana kiukweli sion sababu yakuwa namawaziri na wasaidiz wa Rais alafu mtu ambaye yupo mbali ndio anasemea taasisi nyeti kama ikulu Yes nasema anasemea maana vyombo vyote vya ulinzi na usalama bilishindwa vipi zungumza na Idrisa alafu mtu mmoja akainuka nakusema kijana aende polis na asemea mkuu wamkoa kamwambia aende?

Vipi kuhusu itifaki kwamba sasa mkuu wamkoa yeyote anaweza kusema jambo lolote linamuhusu Rais pasipo idara zingine kuingilia kati?
Yupo wapi waziri wa michezo?
Yupo wapi Mh Jafo?
Yupo wapi waziri wa katiba na sheria?
Yupo wapi Msemaji wa Rais
Yupo wapi msemaji wa serikali?
Yupo wapi mkuu wa maadili ya itumishi wa umma na Kwanini haya yanatokea?

Je taasisi ya Rais sasa inamsemaji wake ambaye yupo nje ya utaratibu wa ikulu? Undercover ?

Je ina maana Rais wetu tulio mchaguwa kwa pamoja nirais mwenye kupendelea na haoni mambo haya vijana wanafanyiwa na kijana mwenzao alie mteuwa kwa ajili yakuwa wakala wa vijana?

Walimwengu labda mnifafanulie wapi ktk jamuhiri hii ya watu wa Tanzania mkuuwa mkoa ndio msemaji wa Rais nje ya mipaka ya mkoa wake?

walimwengu nifumbueni macho nijuwe je Rais anamifumo mingapi ya mawasiliano ukiacha ile inayo onekana na isio onekana?

Je sisi Watanzani tumemchaguwa Rais ambaye hana muda wakufurahi na watu wake na hivyo palipo nafuraha anamtuma kijana wake kuleta huzuni? Pasipo sababu

Kilio chetu nakikurudie mkuu kama vijana ndio haya wanayafanya basi waachen wazee watuongoze sisi tunao vimbiwa makande na kuropoka.
Bashite ndiyo mkuu wa kamati ya ufundi ya mtukufu pia ni msiri wake na mshauri wake mkuu hasa ukizingatia pia ni Dalali wa ununuzi wa Ndege na madili mengineyo kibao likiwemo la ujenzi wa chato Airport ambapo Bashite hula kupitia kampuni zilizopewa tenda kwenye miradi yote mikubwa Nchini.
 
Ndugu upo nchi gani?kama mpaka sasa hujui nguvu na nafasi ya RC uliye mtaja basi wewe si MTanzania.
Makonda kwasasa ana power zaidi ya MKM au Mama number 2.

Bashite ni Naibu Rais kama Zito alivyopata kusema hapo awali, ana sauti kuliko hata mke wa mtukufu magufuli, ukaribu wa Bashite na mtukufu ni sawa na ule ukaribu wa marehemu Iddy Amin dada na msaidizi wake katili mwenye roho mbaya sana aliyekuwa akiitwa colonel maliyamungu. Roho ya Bashite ni sawa na ya Bokasa, Abacha, Elbashiri, mabutu, chiluba, Sadam Hussein na wenzao
 
Yaani siku zote hizi umekuwa ukimtambua huyo jamaa kama Mkuu wa Mkoa! Pole sana. Sisi wenzako kitambo, tunachoelewa huyo kiumbe ana wadhifa mkubwa zaidi ya huo alionao! Ni upi huo? Hapo sasa kila mtu atakuja na jibu lake.

Bashite ni Naibu Rais pia ni mshauri mkuu wa mtukufu na vilevile ni mkuu wa kitengo cha ndumba zote Nchini ikiwemo Gamboshi, sumbawanga kigoma mtwara hata ule moshi wa Ruangwa aliutuliza haraka baada ya kupokea simu toka Ruangwa, yupo juu ya Sheria zote za Tanzania hakuna wa kuthubutu kumgusa labda mpaka mwaka 2026-27 akiingia Rais mpya ikulu
 
Naomba niseme kama raia wa Tanzania nakijana ambaye natafuta ili familia yangu ile nakunywa nimeumia yalio mkuta Idrisa Sultan. Kijana ambaye aliweka picha yakichwa chake kwenye kiti cha rais aki wish tarehe yakuzaliwa mkuu yeye wangebadilishana akale cake pale ikulu. Baada yakuwepo cake nyingi zakumpongeza Rais siku yakuzaliwa kwake.

Kiukweli siku ilifana na kila mtu alifurahi. Jambo wengi mpaka sasa tunashangaa nakuumia ni hiyo siku kubadilika nakuwa siku vijana wengi waliofurah na wazehe waliona ghafla imekuwa uchungu nakumbukizi uwenda wengi hawato zisahau.

Kwanza niseme Kijana Idrisa anandoto kama walizo nazo vijana wengine naamini hata yeye ana wish anaweza kuwa Rais na wala hatuwez pingana naye maana tuna ushuhuda jinsi wana michezo na waigizaji mashuhuri wamekuwa marais wamataifa tena makubwa.
Mfano hivi majuzi tu kunaTaifa la Ulaya limepata Rais ambaye alikuwa ni mchekeshaji tena alikuwa akimuiga Rais alie ondoka ndio alikuwa akimfanyia utani leo yeye ndio Rais. Yes wala sio mbali nijiran na Russia. Taifa la Eyucrain rais wake ni mchekeshaji.

Nirud kwenye mada RC sio msemaji wa Ikulu wala sio mtu anaye fanya kazi yakufuwatilia at high level nani anasema nn juu ya Rais. Kipo kitengo kinafuwatilia tena kama Idrisa ile issue yake wangeona ina athari au inashusha kiti cha Rais kiroho safi wangemwambia afanye edit au aondoe picha kiroho safi wala isingekuwa big issue.

Mkuu wa Mkoa kupitia msemaji wa mkoa wake anaongelea mambo ya mkoa wake sio yanayo muhusu Rais. Wasemaji wa Rais ni mawaziri wake na wale walio ktk team ya mkuu wa taifa pale Ikulu.

Jambo linatuuma sote Watanzania nikuona kwa kipindi kirefu RC Wa DSm amekuwa akimsemea Rais mambo wanapaswa waseme watu waikulu na isitoshe ktk maswala ya uongoz na yanayo muhusu rais kuna kitu kinaitwa itifaki. Ndigu zangu itifaki nikama kusema utaratibu umezingatiwa. Je huyu mkuu wa mkoa wa darau yeyote anaye semea kiti je itifaki ya muenendo wapale ikulu imezingatiwa?

Je madaraka ya mkuu wa mkoa kikomo chake ni wapi maana kiukweli sion sababu yakuwa namawaziri na wasaidiz wa Rais alafu mtu ambaye yupo mbali ndio anasemea taasisi nyeti kama ikulu Yes nasema anasemea maana vyombo vyote vya ulinzi na usalama bilishindwa vipi zungumza na Idrisa alafu mtu mmoja akainuka nakusema kijana aende polis na asemea mkuu wamkoa kamwambia aende?

Vipi kuhusu itifaki kwamba sasa mkuu wamkoa yeyote anaweza kusema jambo lolote linamuhusu Rais pasipo idara zingine kuingilia kati?
Yupo wapi waziri wa michezo?
Yupo wapi Mh Jafo?
Yupo wapi waziri wa katiba na sheria?
Yupo wapi Msemaji wa Rais
Yupo wapi msemaji wa serikali?
Yupo wapi mkuu wa maadili ya itumishi wa umma na Kwanini haya yanatokea?

Je taasisi ya Rais sasa inamsemaji wake ambaye yupo nje ya utaratibu wa ikulu? Undercover ?

Je ina maana Rais wetu tulio mchaguwa kwa pamoja nirais mwenye kupendelea na haoni mambo haya vijana wanafanyiwa na kijana mwenzao alie mteuwa kwa ajili yakuwa wakala wa vijana?

Walimwengu labda mnifafanulie wapi ktk jamuhiri hii ya watu wa Tanzania mkuuwa mkoa ndio msemaji wa Rais nje ya mipaka ya mkoa wake?

walimwengu nifumbueni macho nijuwe je Rais anamifumo mingapi ya mawasiliano ukiacha ile inayo onekana na isio onekana?

Je sisi Watanzani tumemchaguwa Rais ambaye hana muda wakufurahi na watu wake na hivyo palipo nafuraha anamtuma kijana wake kuleta huzuni? Pasipo sababu

Kilio chetu nakikurudie mkuu kama vijana ndio haya wanayafanya basi waachen wazee watuongoze sisi tunao vimbiwa makande na kuropoka.
Andiko lako zuri
 
Naomba niseme kama raia wa Tanzania nakijana ambaye natafuta ili familia yangu ile nakunywa nimeumia yalio mkuta Idrisa Sultan. Kijana ambaye aliweka picha yakichwa chake kwenye kiti cha rais aki wish tarehe yakuzaliwa mkuu yeye wangebadilishana akale cake pale ikulu. Baada yakuwepo cake nyingi zakumpongeza Rais siku yakuzaliwa kwake.

Kiukweli siku ilifana na kila mtu alifurahi. Jambo wengi mpaka sasa tunashangaa nakuumia ni hiyo siku kubadilika nakuwa siku vijana wengi waliofurah na wazehe waliona ghafla imekuwa uchungu nakumbukizi uwenda wengi hawato zisahau.

Kwanza niseme Kijana Idrisa anandoto kama walizo nazo vijana wengine naamini hata yeye ana wish anaweza kuwa Rais na wala hatuwez pingana naye maana tuna ushuhuda jinsi wana michezo na waigizaji mashuhuri wamekuwa marais wamataifa tena makubwa.
Mfano hivi majuzi tu kunaTaifa la Ulaya limepata Rais ambaye alikuwa ni mchekeshaji tena alikuwa akimuiga Rais alie ondoka ndio alikuwa akimfanyia utani leo yeye ndio Rais. Yes wala sio mbali nijiran na Russia. Taifa Ukraine rais wake ni mchekeshaji.

Utaumiaje na wewe ni muuaji? Damu ya Saanane bado inakulilia
 
Mkuu mimi nilijua wew ni Bashite mana unafurahia sana vitendo vya utekaji awam hii ķumbe vuvuzerá uliyekatwa mkia
 
Laiti mambo anayoyafanya huyu bwana mdogo angeyafanya RC mwingine,zamani sana angeshatimuliwa madarakani,lakini ndio hivyo tena,babake kampenda zaidi,hata afanyaje hawezi kumfanya lolote lile.
 
Bashite atawashitua achana naye yule ni mtoto wa kwanza tena wa mapenzi siyo hao wa teacher.
 
Laiti mambo anayoyafanya huyu bwana mdogo angeyafanya RC mwingine,zamani sana angeshatimuliwa madarakani,lakini ndio hivyo tena,babake kampenda zaidi,hata afanyaje hawezi kumfanya lolote lile.
No, sio baba yake! Ni zaidi ya baba. Baba ampendaye mwanae ana mrudi kwa mabaya atendayo sio kumkumbatia. Kuna kitu kingine kiovu sio bure!
 
Bashite ndiyo mkuu wa kamati ya ufundi ya mtukufu pia ni msiri wake na mshauri wake mkuu hasa ukizingatia pia ni Dalali wa ununuzi wa Ndege na madili mengineyo kibao likiwemo la ujenzi wa chato Airport ambapo Bashite hula kupitia kampuni zilizopewa tenda kwenye miradi yote mikubwa Nchini.
Nakataa
 
Back
Top Bottom