HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Hana haja ya kufuatilia kwa vile hawa ni wapiga kura wa chama tawala wakati wa uchaguzi na kuishi nchini kinyume ndiyo malipo yao hujui? Tanzania hatuna uhamiaji bali uvamiaji. Nenda Dar uone waarabu, wachina, wahindi, na wazanzibari wanavyoletana kila uchao na kuja kufaidi nchi hii ya mataahira.Kumekuwa na tabia ya viongozi hasa watendaji wa vijiji kuwakumbatia wakimbizi kutoka kongo na burundi na kupokea pesa kwaajili ya kuwahifadhi na hata kuwapatia vitambulisho vya kuoigia kura na uraia.
Rc wa kigoma fuatilia hili swala kwani askari wa jeshi la uhamiaji limekuwa likishirikiana na watendaji wa vijiji kupokea pesa na kuwaacha wakimbizi hao wakifanya kazi za vibarua bila vibali kitu ambacho ni hatari.
Nikiwa katika utalii wa ndani nimekutana na wakimbizi kibao ktk vijiji vya wilaya zote za mkoa wa kigoma nilikopita.
Jeshi la uhamiaji hamna kitu ikibidi lifutwe tu majukumu yao wakbidhiwe JWTZ wanaolinda mipaka ya nchi .
Kuanzia leo kila mfanyakazi akatwe mshahara au mfanyabiasha atozwe ushuru kila mwezi kiwango cha sh 10,000 ili serikali iweze kujenga ukuta kuzuia wahamiaji haramuKigoma ,bukuba serikali ijengwe fence kuzuia uvamizi kutoka nje
Serikali inauwezo wa kujenga fence bila hata kuongeza tozo,Kuanzia leo kila mfanyakazi akatwe mshahara au mfanyabiasha atozwe ushuru kila mwezi kiwango cha sh 10,000 ili serikali iweze kujenga ukuta kuzuia wahamiaji haramu
Au mtaaanza kulalamika.....
Serikali inauwezo wa kujenga fence bila hata kuongeza tozo,
Kumbuka watajenga fence ya waya na sio ukuta wa matofali
Naam mfano wa hiyo,