Ndugu yangu, hapo nikupinge kidogo. Mwenyekiti ni mtu wa kuchair vikao na kulipwa posho tu. Mara nyingi vikao ni vinne kwa mwaka. Mkuu wa Mkoa ni ajira ya kulipwa kila mwezi.Huyu naye ni hasara tu kwa Taifa. Wenzake baada ya kustaafu wamepewa uenyekiti wa bodi ya mashirika na taasisi zenye ulaji! Yeye amepewa Ukuu wa Mkoa, na amekubali eti! Ingengekuwa ndiyo mimi, ningekataa.
Kama umemuelewa ni kwamba, Wenye Hekima na Uzoefu katika kulitumikia taifa wana nafasi zao. Huko walipompeleka huyo siyo levels zake.Ndugu yangu, hapo nikupinge kidogo. Mwenyekiti ni mtu wa kuchair vikao na kulipwa posho tu. Mara nyingi vikao ni vinne kwa mwaka. Mkuu wa Mkoa ni ajira ya kulipwa kila mwezi.
Wewe hujanielewa. Mtu anayeongelewa hapa, aliwahi kuwa mkuu wa jeshi la polisi nchini, na akastaafu kwa mujibu wa sheria. Hakukuwa na sababu ya kumrejesha tena kwenye kazi ya kuajiriwa!Ndugu yangu, hapo nikupinge kidogo. Mwenyekiti ni mtu wa kuchair vikao na kulipwa posho tu. Mara nyingi vikao ni vinne kwa mwaka. Mkuu wa Mkoa ni ajira ya kulipwa kila mwezi.
Tunapangiana cha kujadili ? What's next hata kupangiana na mawazo ? Hii mbona kama inaingilia hadi uhuru binafsi ? Kama nalipa Kodi na kuwaweka waliopo Je ni kosa kwangu kujadili lolote na chochote kinachohusu Kodi yangu ?Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro amesema kuwa hawakatazi watu kukaa vikundi wakati ama baada ya kupiga kura kesho Oktoba 29 2025, kama watu hao watakuwa wanajadili mambo ya kawaida tu.
Hio ndio dhima ya Maandamano ?Bongo wazee wengi hawana faida yeyote. Wana maandamano anzeni na wazee
Ndugu yangu, kustaafu kusikie kwa jirani. Pamoja na kumjibu Consigliere alivyo niendea mazingira, ukistaafu inawezekana pesa isiwe tatizo ila kitu cha msingi ni matumizi ya muda kabla ya kulala. Kuwa na shughuli ya kufanya ni muhimu sana kwa mstaafu. Kwa maneno mengine afisi kwa wazanzibari au ofisi kwetu wabara. Ukuu wa mkoa kwa Sirro ni kumpatia ofisi ambapo akiamka asubuhi anaingia ofisini si kusoma magazeti au kuangalia TV na wajukuu. Nina uzoefuWewe hujanielewa. Mtu anayeongelewa hapa, aliwahi kuwa mkuu wa jeshi la polisi nchini, na akastaafu kwa mujibu wa sheria. Hakukuwa na sababu ya kumrejesha tena kwenye kazi ya kuajiriwa!
Kama utanilipia nakubali na nipo tayari kuwa nakuoshea vyombo mkuu ConsigliereKama umemuelewa ni kwamba, Wenye Hekima na Uzoefu katika kulitumikia taifa wana nafasi zao. Huko walipompeleka huyo siyo levels zake.
Kwa akili yako kwa level aliyoifikia huyo na kote alikipita ni mtu wa kutolea macho mshahara?
Sijui umri wako, lakini utajisikiaje shule FEZA au ilbouru wakikupatia sasa hivi nafasi ya kwenda kuanza form one kwenye shule zao?
Jambo la muhimu baada ya kustaafu ni kufanya tu mazoezi, kula chakula kisicho na athari kwenye afya yako, kupata muda mwingi wa kupumzika, kuwa karibu na familia, nk. Mtu ukifikia umri wa kustaafu, ni vizuri ukastaafu! Na siyo kurudishwa tena kazini, na wakati mtaani kuna vijana kibao tu wenye uwezo na hawana ajira.Ndugu yangu, kustaafu kusikie kwa jirani. Pamoja na kumjibu Consigliere alivyo niendea mazingira, ukistaafu inawezekana pesa isiwe tatizo ila kitu cha msingi ni matumizi ya muda kabla ya kulala. Kuwa na shughuli ya kufanya ni muhimu sana kwa mstaafu. Kwa maneno mengine afisi kwa wazanzibari au ofisi kwetu wabara. Ukuu wa mkoa kwa Sirro ni kumpatia ofisi ambapo akiamka asubuhi anaingia ofisini si kusoma magazeti au kuangalia TV na wajukuu. Nina uzoefu
Sasa ukistaafu unahitaji ajira ya kulipwa kila mwezi ili iwaje? Umestaafu nini?Ndugu yangu, hapo nikupinge kidogo. Mwenyekiti ni mtu wa kuchair vikao na kulipwa posho tu. Mara nyingi vikao ni vinne kwa mwaka. Mkuu wa Mkoa ni ajira ya kulipwa kila mwezi.
Afanyaje alikuwa na option nyingine?Huyu naye ni hasara tu kwa Taifa. Wenzake baada ya kustaafu wamepewa uenyekiti wa bodi ya mashirika na taasisi zenye ulaji! Yeye amepewa Ukuu wa Mkoa, na amekubali eti! Ingengekuwa ndiyo mimi, ningekataa.
Nakushukuru nimekusoma, umri ndilo tatizo.Jambo la muhimu baada ya kustaafu ni kufanya tu mazoezi, kula chakula kisicho na athari kwenye afya yako, kupata muda mwingi wa kupumzika, kuwa karibu na familia, nk. Mtu ukifikia umri wa kustaafu, ni vizuri ukastaafu! Na siyo kurudishwa tena kazini, na wakati mtaani kuna vijana kibao tu wenye uwezo na hawana ajira.
Hivi vyeo vya kuteuana tena hata baada ya kustaafu, ni muendelezo tu wa kasoro ambazo wananchi tulizikataa kwenye Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba ya Rais kupunguziwa mamlaka ya uteuzi na pia kuvifuta baadhi vyeo visivyo na tija kwenye karne hii ya 21; vikiwemo hivi vya Wakuu wa Mikoa na Wilaya.
Nakuelewa ni umri tu. Ukikua utanielewa zaidi au mtu aliye karibu Yako akistaafu ndipo utaelewa nasema nini. Ndugu zangu kustaafu kusikie kwa jiraniSasa ukistaafu unahitaji ajira ya kulipwa kila mwezi ili iwaje? Umestaafu nini?