Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Mwambie tunaaga kweli na hati ti’s hiki. Alafu mwambie iyo kauli yake tumeshaifikisha kwa wahusika na ajiandae kuchukuliwa hatua kwa yote watakayofanyiwa wana songwe. Ushahidi umeshatumwa
View attachment 1611248
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brg. Mwangela amewaonya raia wote wanaotaka kulinda kura zao baada ya zoezi la kupiga kura.
Brg. Mwangela amenukuliwa akisema "Unapokwenda kulinda kura aga kabisa nyumbani kwako, uhakikishe familia yako umeiacha vizuri kwa maana utakutana na wenye kazi yao ya kulinda kura na unanaweza usirudi nyumbani ukaenda gerezani au ukarudi mlemavu"