Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
View attachment 1611248
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brg. Mwangela amewaonya raia wote wanaotaka kulinda kura zao baada ya zoezi la kupiga kura.
Brg. Mwangela amenukuliwa akisema "Unapokwenda kulinda kura aga kabisa nyumbani kwako, uhakikishe familia yako umeiacha vizuri kwa maana utakutana na wenye kazi yao ya kulinda kura na unanaweza usirudi nyumbani ukaenda gerezani au ukarudi mlemavu"
Mwizi anapata wapi ujasiri wa kutisha mwenye mali? Tutapiga kura na kuzilinda, hizo kura zake fake akatafute namna nyingine ya kuzipenyeza lakini si huko kwenye vituo vya kupigia kura. Sasa basi.View attachment 1611248
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brg. Mwangela amewaonya raia wote wanaotaka kulinda kura zao baada ya zoezi la kupiga kura.
Brg. Mwangela amenukuliwa akisema "Unapokwenda kulinda kura aga kabisa nyumbani kwako, uhakikishe familia yako umeiacha vizuri kwa maana utakutana na wenye kazi yao ya kulinda kura na unanaweza usirudi nyumbani ukaenda gerezani au ukarudi mlemavu"
Lisu is a victorView attachment 1611253
View attachment 1611248
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brg. Mwangela amewaonya raia wote wanaotaka kulinda kura zao baada ya zoezi la kupiga kura.
Brg. Mwangela amenukuliwa akisema "Unapokwenda kulinda kura aga kabisa nyumbani kwako, uhakikishe familia yako umeiacha vizuri kwa maana utakutana na wenye kazi yao ya kulinda kura na unanaweza usirudi nyumbani ukaenda gerezani au ukarudi mlemavu"
RC anatetea watoto wake waendelee kupishana chooni, mwambieni anajihangaisha bure mambo yako tofauti sana. Toka lini mwizi akawa na ujasiri wa kutisha mwenye mali? Maajabu haya.Ujumbe uwafikie watu wabaya
Nchi hii hakuna kuheshimiana mpaka uje mchakamchaka wa libya anaongea kwa kiburi kama hii ni nchi yake
Mabeberu leteni dilaha mchukue madini
Hawa watu wanaelekea pabaya uvumilivu una mwisho wake CCM mpo wachache sana
Uzuri Weshajulikana watakaolinda kula Ni WAHUNI WEZI NA VIBAKA so ni Kazi rahisi sana Kwa Majeshi yetu Kuwanyooshaaa pata kipigo moja moto Moja Baridi hahahh Halafu Ushindi unatangazwa wewe UPO kwenye Sero.... na Hakikaa mtakaaa huko mieziii sitaa🤣😂🤣😂🤣😂 Mtajiita Wafungwa Wa kisiasa Halafu sisi huku Uraiani Tunaendelea na Maisha ya Kawaida.. TUNAOMBA JESHI LA POLISI LITULINDE SISI TUTAOTII SHERIA NA LIWAADHIBU HAO WANAOTAKA KUHATARISHA AMANIIII PIGAAAA SANAAA SANA😡😡😡View attachment 1611248
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brg. Mwangela amewaonya raia wote wanaotaka kulinda kura zao baada ya zoezi la kupiga kura.
Brg. Mwangela amenukuliwa akisema "Unapokwenda kulinda kura aga kabisa nyumbani kwako, uhakikishe familia yako umeiacha vizuri kwa maana utakutana na wenye kazi yao ya kulinda kura na unanaweza usirudi nyumbani ukaenda gerezani au ukarudi mlemavu"
Yaani hadi leo haujajua nguvu za mitandao. Mikutano ya Lissu imezuiwa kutangazwa na vituo vyote, hakuna mabango popote lakini ni hii mitandao inayokusanya watu kuliko hamasa zote zinazotolewa na chama tawala kupitiaa kila machinery.Serious mtandaoni?
Kwa hali yeyote ile, hakuna mtu awaye yote ana haki ya kumtisha mtu yeyote ile kwa namna yeyote.
Ipo hivi, RC Kama kiongozi, anatakiwa aeleze hilo tamko lake ni kwa mujibu wa sheria ipi???
Kimsingi, mwananchi ana haki ya kufanya lolote ilomradi havunji sheria, ilhali RC anatakiwa atende kwa mujibu wa sheria na ni lazima ni wajibu, Kama kiongozi aeleze ni sheria ipi anatumia.
Mwananchi kisheria anaruhusiwa kukaa umbali wa mita 💯 kutoka polling station but not otherwise.
Unapoamua kumjibu mtu uwe unajipa muda wa kusoma hadi mwisho na kuelewa siyo ukiona neno au jina usilolipenda unakimbilia kujibu.The Hague unaijua au unaisoma tu mitandaoni,kila jambo mnalia the Hague,angefungwa kenyatta na Ruto basi
Kuna nini nyuma ya pazia?View attachment 1611248
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brg. Mwangela amewaonya raia wote wanaotaka kulinda kura zao baada ya zoezi la kupiga kura.
Brg. Mwangela amenukuliwa akisema "Unapokwenda kulinda kura aga kabisa nyumbani kwako, uhakikishe familia yako umeiacha vizuri kwa maana utakutana na wenye kazi yao ya kulinda kura na unanaweza usirudi nyumbani ukaenda gerezani au ukarudi mlemavu"
Uzuri Weshajulikana watakaolinda kula Ni WAHUNI WEZI NA VIBAKA so ni Kazi rahisi sana Kwa Majeshi yetu Kuwanyooshaaa pata kipigo moja moto Moja Baridi hahahh Halafu Ushindi unatangazwa wewe UPI kwenye Sero.... na Hakikaa mtakaaa huko mieziii sitaa🤣😂🤣😂🤣😂 Mtajiita Wafungwa Wa kisiasa Halafu sisi huku Uraiani Tunaendelea na Maisha ya Kawaida.. TUNAOMBA JESHI LA POLISI LITULINDE SISI TUTAOTII SHERIA NA LIWAADHIBU HAO WANAOTAKA KUHATARISHA AMANIIII PIGAAAA SANAAA SANA😡😡😡
RC anatetea watoto wake waendelee kupishana chooni, mwambieni anajihangaisha bure mambo yako tofauti sana. Toka lini mwizi akawa na ujasiri wa kutisha mwenye mali? Maajabu haya.