Uchaguzi 2020 RC Songwe: Unapokwenda kulinda kura aga kabisa nyumbani kwako, uhakikishe umeiacha vizuri unaweza usirudi au ukarudi mlemavu

Halafu baada ya uchaguzi akipelekwa kushtakiwa kwenye mahakama ya kimataifa atamlaumu nani?
Yaani anapewa dhamana ya kuwa mkuu wa mkoa halafu anaropoka upuuzi mtupu.
 
Yuko sahihi; hii ni kuondoa kitu inaitwa voter intimidation. Kuwepo kwa makundi ya watu waliozunguka vituo vya kupigia kura kunaweza kusababisha wapiga kura wengine wakaogopa kwenda kupiga kura zao. Inabidi vituo vya kura viwe welcoming sana; viwakakikishiea wapiga kura usalama wao na kusiwe na mazingira ya kuwatisha wapiga kura.
 
Haya ndiyo tunayoyataka,baada ya hayo kipo kitakachofuta
 
Ccm na watawala wamepanga nini kuhusu kura na matokeo!? kwanini inatumika nguvu kubwa kuanzia mgombea uraisi JPM, IGP, Rc's,Dc's , Nec nk!?
 
Kama watu walivyo serious pia na vyombo vya Ulinzi na usalama vipo serious kudeal na wasiofuata sheria.
 
Mwambie familia nzima tutakuwepo hapo kulinda kura. Hakuna wa kuaga... Yeye atayarishe tu risasi zake za kutosha za kuwindia sisi wanyama wake.
 
Nakumbuka wakati wa Makinikia mlikuja na tambo bubu kama hizi kuwa tujiandae kushtakiwa MIGA....

Wazee wa kujitia hofu na kulazimisha kuambukiza wengine hofu mmeshatepeta.

Kalindeni kura siye tutalinda wake zenu huku majumbani
Na kukiwa na changamoto ya utawala kufanya yasiyo mema, basi lawama itabidi uwape haohao wake zako ili wazifanyie kazi.

Kadri miaka inavyozidi kwenda mbele wanaume wanapungua na wanaongezeka watu wenye uwezo tu wa kumpa mimba mwanamke.
 
Nakumbuka wakati wa Makinikia mlikuja na tambo bubu kama hizi kuwa tujiandae kushtakiwa MIGA....

Wazee wa kujitia hofu na kulazimisha kuambukiza wengine hofu mmeshatepeta.

Kalindeni kura siye tutalinda wake zenu huku majumbani
Huyo RC ni mshamba wa madalaka,huu siyo wakati wa kutisha na kuwafokea wenye Nchi,huyo RC hajui kuwa Tanzania ni Mali ya WANANCHI,

Amuulize Omary Bashiru aliyekuwa Raisi wa Sudani yuko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…