GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tafadhali Rais Samia ikikupendeza kwa Siku za baadae ukiwa unafanya UTEUZI wa Viongozi mbalimbali uwe unanikaribisha Mpiga Kura wao na Mwanao Kikatiba niwe nakuja kuwapima kama kuna Wavuta Bangi na labda waliowahi kuugua Uwendawazimu wakiwa Udogoni / Utotoni.
Sitokuangusha katika hili Mheshimiwa Rais Samia kwani kwa Utaalam na Uzoefu wangu wapo ambao nawaona kuwa si tu wanazivuta hizo Bangi bali pia Wanazila kama Mboga na zingine Kuzifukizia kabisa ili muda wote wawe Wananuka na Wanaongea Bangi Bangi tu kisha Kukuharibia Kiutendaji kama Boss wao Mkuu Kiuteuzi.