RC wa Dar Chalamila: Anayekerwa na Foleni za Dar ahamie Kijijini akalime

RC wa Dar Chalamila: Anayekerwa na Foleni za Dar ahamie Kijijini akalime

Ndio maana nchi hii royal families wanajifanyia wanavyotaka maana watanzania hawana push back na wote wanasubiri kupangwa, RC aelewe kuwa yeye ni public figure anachokitamka lazima akipime kwanza ili aline heshima yake,ofisi yake na kama hawezi aachie madaraka haya na kurudi kijiweni,nchi hii ingekua na mikoa 15 tu ,mpumbavu huyu asingeupata u RC huu, Dar ya Mhavile J.ilikua super
 
Hao wote wanapewa jeuri na CCM, maana ukiwa CCM unajiona kama nchi ni yako na hakuna wa kukubabaisha...
 
Hii kauli mbaya sana hata kwa watalii wanaokuja Dar...
Foleni zinapunguza mapato.
Mama Samia kumuacha mtu huyu ni kutudharau wananchi
 
Mijitu kama hii, haioni shida kujibu mavi,maana inajua haikuchaguliwa na MTU, IPO pale kisiasa tu,
Nchi inaongozwa na mataahira
 
Ina maana wote wanaolima vijijini wamechoshwa na foleni za Dsm??
Ebu kamuulize yeye kuja kuishi Dsm kakimbia Ulanzi au kakimbia chaDog kwao huko? Wakati mwingine kiongozi pima maneno yako kabla ya kuongea
Badala ya kuwa na viongozi wenye maono tunakuwa na mizigo Kwa dar es salaam, duh anafaa kupumzushwa, Jiji limekuwa chafu sana, biashara holela zimerudi kisa uongozi holela
 
Back
Top Bottom