GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na kilichoniumiza zaidi baada ya kutoa Boko hilo ni kwamba kila mara nimekuwa nikikusikia ukisema (tena ukitamba) kuwa una Masters Degree (Shahada ya Uzamili) na kwamba ulishakuwa Mkufunzi (Teaching / Tutorial Assistant) na kusema pia kuwa una Exposure Kubwa na hata huko Ulaya / Marekani umeshatembea sana ila sijajua ni kwanini umeongea Broken English kama hiyo ya kusema (ukimwambia Mtu) katika Hafla uliyoalikwa kama Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kuwa Thank you for Organization the Event badala ya Thank you for Organizing this event.
Kazi ipo......!!!!!!!!
Kazi ipo......!!!!!!!!