RC wa Dar es Salaam Albert Chalamila hakuna Kiingereza cha Thank you for Organization bali kuna Kiingereza sahihi cha Thank you for Organizing

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na kilichoniumiza zaidi baada ya kutoa Boko hilo ni kwamba kila mara nimekuwa nikikusikia ukisema (tena ukitamba) kuwa una Masters Degree (Shahada ya Uzamili) na kwamba ulishakuwa Mkufunzi (Teaching / Tutorial Assistant) na kusema pia kuwa una Exposure Kubwa na hata huko Ulaya / Marekani umeshatembea sana ila sijajua ni kwanini umeongea Broken English kama hiyo ya kusema (ukimwambia Mtu) katika Hafla uliyoalikwa kama Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kuwa Thank you for Organization the Event badala ya Thank you for Organizing this event.

Kazi ipo......!!!!!!!!
 
Halafu eti alikuwa Lecturer pale Ruaha University!! Huyu mtu mwenye kichwa kama kiazi mbatata!! Hana kitu kichwani
 
Halafu eti alikuwa Lecturer pale Ruaha University!! Huyu mtu mwenye kichwa kama kiazi mbatata!! Hana kitu kichwani
Nani amekwambia kujua kingereza ni kipimo Cha akili? Watching hawajui kingereza lakini Angelia mambo yao
 
Master degree ni Shahada ya Umahiri sio Shahada ya Uzamili. Ila Master degree ni moja wapo ya
Shahada za uzamili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…